Ukiajiriwa ni lazima uwe Mwanachama wa vyama vya Wafanyakazi?

Ukiajiriwa ni lazima uwe Mwanachama wa vyama vya Wafanyakazi?

Kipelepeto

New Member
Joined
Nov 23, 2022
Posts
2
Reaction score
1
Nimeona katika taasisi nyingi sana Maafisa Utumishi wamekuwa na tabia ya kuingiza makato kuchangia vyama vya wafanyakazi bila ya idhini ya mwanachama.

Hii imekaaje Kisheria kwa wale wajuzi karibuni tujadili pamoja.

1419859_Capture-1-690x308.png
 
HIZO NI NJIA ZA SERIKALI KANDAMIZI ISIYOPENDA MAENDELEO YA WATU WAKE...KWAHIYO MSHAHARA WANAOKUPA WATAUTUNGIA SHERIA MBALIMBALI ILI WAURUDISHE KAMA SIO WOTE NI NUSU...

HIVYO VYAMA NI VYA KUKUSANYIA PESA WATU WAJIPIGIE HELA YA BURE...

HAMUONI HUU UTARATIBU WA BIMA KWA WOTE...?
 
Siyo Lazima Ila Ni Ujanjaujanja Wa Viongozi Kuhakikisha Wanapiga Cash
 
Subiria kinuke kazini ndo utajua kwanini gundi huwa haitumiki kugandishia maharage.
 
Back
Top Bottom