Teslarati
JF-Expert Member
- Nov 21, 2019
- 2,621
- 10,466
Hivi hili nalo linahitaji debate kweli.Niaje waungwana,
Kama swali linavojieleza hapo juu, ukiambiwa uchague sehemu moja tu ya kujenga kwa ajili ya makazi kati ya Chanika, Kibaha, Vikindu na Bagamoyo ila kiwanja unapewa bure.
Ndugu muungwana hebu tuambie utachagua kujenga na kuishi wapi? Na kwanini?
Kulinganisha kibaha na hao wengine wote kwa miaka ya sasa atafanya mtu ambae hatumii morogoro road, na morogoro road ndio barabara kuu ya nchi hii