Ukiambiwa kuna viwanja vya bure uchague tu sehemu ya kujenga na kuishi kati ya Vikindu, Kibaha, Chanika na Bagamoyo, utachagua kujenga wapi?

Hivi hili nalo linahitaji debate kweli.

Kulinganisha kibaha na hao wengine wote kwa miaka ya sasa atafanya mtu ambae hatumii morogoro road, na morogoro road ndio barabara kuu ya nchi hii
 
Wengine wanapaponda vikindu wengine wanapasifia vikindu πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Soma alama za nyakati, katika mkoa wa Pwani, Kibaha ndio kuna muelekeo zaidi. Future iko huko, hakuna uswahili uswahili.
Wewe ishi kote, lakini miji yenye ngome za kiswahili swahili hapakufai kukimbilia kuweka makazi ya kudumu.
Kwanini uwakimbie waswahili wenzako mkuu, au unaogopa kibebeshwa kishipa? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…