Mnachihanguuu
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 4,385
- 6,443
Kuwa mmakonde ni kosa? Chitoko cha mamayo choWamakonde utawajua tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuwa mmakonde ni kosa? Chitoko cha mamayo choWamakonde utawajua tu
Nafikiri hapo point kubwa ni hali ya hewa. Swala la mchanganyiko wa makabila nafikiri hata Chanika lipo au vipi mkuu?Kibaha! Hali ya hewa ni nzuri!
Ni sehemu nzuri, napapendea kitu kimoja kuna mchanganyiko wa makabila mbali mbali!
Hakuna uswahili uswahili!
Kijana anataka kuwachungulia wenye mji wao machoni 😂😂😂Unagongwa na vigagula wewe, Tabata maeneo yake mengi tu yamepimwa. Tuna nyumba ipo kwenye mipango miji from 1980s. Hio Tabata unayosemea squatter ni ile ya nyuma ya Mawenzi kunaitwa Upogoroni kushuka hadi mwananchi pamoja na maeneo yanyopakana na bonde la mchicha.
Ni hatariBila kusahau binam zao wandengereko 😂😂😂
Ameyatimba na vile nimeskia Mods wako Ngorongoro namkanda vizuri sana bila refa 😂Kijana anataka kuwachungulia wenye mji wao machoni 😂😂😂
CHANIKA foleni Iko upande Gani SHEKHE mbona tunapanda daladala muda wote ma bus yapoKuna watu wanadai Chanika usafiri mpaka uwe mtu wa kuamka mapema yani kuanzia saa 11 hadi saa 1 ya asubuhi. Ukifika kituoni kinyume na hapo basi utarajie kuchelewa zaidi ndani ya basi kwa sababu ya foleni.
Atakuwa chaparara😂😂 unamtimba na kumkanyaga kanyaga hadi aelewe 😂😂
Ushirikina, Uswahili , panya road/vibaya na migogoro ya ardhi huko ndio nyumbani kwakeKwann mkuu🤣
Mkuu kama nlivyokwambia hapo juu kuwa nasikia tu kutoka kwa watu. Mimi sio mwenyeji wa huko na wala sina ndugu maeneo hayo, hivyo badala ya kuniuliza nilitarajia ungenipa maelezo ya kutosha ili kunithibitishia kuwa yale nilioyasikia hayana ukweli wowote.CHANIKA foleni Iko upande Gani SHEKHE mbona tunapanda daladala muda wote ma bus yapo
Hapo kama ni fursa ya kuchagua japo viwanja viwili basi nitachagua kwanza kibaha alafu cha pili kitakuwa cha bagamoyo.Niaje waungwana,
Kama swali linavojieleza hapo juu, ukiambiwa uchague sehemu moja tu ya kujenga kwa ajili ya makazi kati ya Chanika, Kibaha, Vikindu na Bagamoyo ila kiwanja unapewa bure.
Ndugu muungwana hebu tuambie utachagua kujenga na kuishi wapi? Na kwanini?