Ukiambiwa toa kimoja hapo utatoa kitu gani?

Ukiambiwa toa kimoja hapo utatoa kitu gani?

Yanaongeza ujinga ndo maana hatugundui kitu

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Mbona wabongo tumegundua vingi tu mkuu.

Kwa mfano tumegundua badala ya kutumia vumbi la kongo, tunaweza kunywa supu ya pweza, mtindi , karanga na kipande cha nazi ili kurudisha urijali.

Pia tumegundua mtu anayeongea kingereza vizuri ndiye mwenye akili.

Halafu tumegundua sisi hatuhitaji viwanda , tunaweza kuishi kwa kutegemea viwanda vya wachina.

Kingine tulichogundua ni ........
 
Back
Top Bottom