Ukiambiwa toa kimoja hapo utatoa kitu gani?

Na watz wengi tunaishi humo, sababu ni umaskini ambao now umegeuka kuwa utamaduni maana hata wenye pesa za kula vizuri utakuta wanagonga ugali kama kawa.
Issue kubwa ni value, ugali ni starch zaidi ambayo unaweza kupata kwenye food sources nyingine ambazo zina plus other vitamins. Kwa mfano viazi vitamu vina vitamins plus starch, so why eating ugali?
 
Inawezekana elimu ya nutrition inatolewa lakini waungwana wanashindwa kuitumia.
 
Back
Top Bottom