Ukiambiwa toa kimoja hapo utatoa kitu gani?

Ukiambiwa toa kimoja hapo utatoa kitu gani?

Kidoogo chapati nitaipa credit kama kutakuwa na soup tena asubuhi tu.😊
 
Masaa mawili yaliyopita nimegonga ugali wa nguvu, dagaa + some vegies mpaka na maji ya kutosha ngoma inayeya hiyo mpaka usiku😄😄
 
Dah haya bhana[emoji23][emoji23][emoji23]
Watanzania tunahitaji elimu kubwa sana kuhusu masuala ya lishe.

Kuna kipindi fulani kuna jamaa nilikuwa naishi nao, walikuwa wanaishi kisela, sasa wao mida ya saa nne usiku unakuta wanagonga ugali mkubwa mithili ya mlima meru, baada ya hapo wanaingia kulala.
Kwa kweli nilikuwa nashindwa kuwashangaa.
 
Back
Top Bottom