Ukiambiwa toa kimoja hapo utatoa kitu gani?

Ukiambiwa toa kimoja hapo utatoa kitu gani?

Mboga ya majani inatoka jangwani wanapomwagilia na maji yanayotoka viwanda vya kemikali.
Ndiyo tatizo la watz mtu unakuta ana eneo kubwa tu anatia paving block eneo lote anashindwa kuweka ka bustani ka kumpatia mboga.
Au mwingine ana eneo la wazi tu linajiotea majani ovyo anashindwa kulima mboga zake mwenyewe. Mimi sinunui mboga nakula nilizopanda mwenyewe.
 
Back
Top Bottom