Ukiambiwa ubebe watu ulio fanya nao mapenzi uta tumia chombo gani cha usafiri

hahah ujana wako ulikuwa wa ovyooo
 
Isuzu cvr hao ni wale watakaojaa humo niwale ambao ninawakumbuka kwa majina yao na sehemu tuliyokutana ila, wapo ambao siwakumbuki majina yao wao hawamo kwenye hiyo isuzu cvr.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…