Ukiambiwa ubebe watu ulio fanya nao mapenzi uta tumia chombo gani cha usafiri

Kwani ukitubu dhambi si inahesabika hujafanya, kwahiyo sihesabii ambao nilifanya nao before kutubu.
Hii inafanya awe mmoja tu.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ sisi tuna wataka na hao ambao uliwatubia zambi zao
 
Kudadaki πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ watu mpo fire
Mkuu nimekuwa Expert sana.
Kuna mademu we unajipigia bure tu tena unakamia ila kuna wajinga wanaona wamepata demu mwenye msimamo.

Usimuamini mwanamke - Soma tena.
 
Mkuu nimekuwa Expert sana.
Kuna mademu we unajipigia bure tu tena unakamia ila kuna wajinga wanaona wamepata demu mwenye msimamo.

Usimuamini mwanamke - Soma tena.
Nimerudia mara 3
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…