Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,977
- 67,600
- Thread starter
-
- #41
๐๐ watafika wamechokaKwanini niwapandishe usafiri watatembea kwa miguu yao mpaka tufike tuendako
Ina kataaa kabisa ๐Pikipiki
Baiskleli.Ukiambiwa ubebe watu ulio fanya nao mapenzi uta tumia chombo gani cha usafiri
Mimi nita tumia bajaji na ina baki nafasi ya kukaa mtu mmoja vip wewe ๐
Kwa sauti ya brother k""Wewe ulikuwepo""๐๐๐๐
Mdogo mdogomgandaji hapa tatumia bajaji tu
Nikwel mkuu ata sijandanganya make mimi nimeanza kununua kabla ya kutongoza na ilikuwa kama chai wakati wa Barehe yangu. Ikisema uwapange ni ngumu ndo maana nimewarundika kama mawe ya ujenziHii kali kupita maelezo ๐
Kuna mmoja kama huko tunapoenda kuna sherehe au tunapewa hela nitamuacha mbwa yule ๐๐๐Kwanza wanapanda usafiri wakienda wapi acha wapige mguu
Nikwel mkuu ata sijandanganya make mimi nimeanza kununua kabla ya kutongoza na ilikuwa kama chai wakati wa Barehe yangu. Ikisema uwapange ni ngumu ndo maana nimewarundika kama mawe ya ujenziHii kali kupita maelezo ๐
Watu mna vijiji bhna ๐Basi Yutong Na Zhongtong mbili
Hiace moja
๐๐mbeleko
Mpk mna fikaBaiskleli.
Mimi mlokole kaka, nimejitunza sana katika ujana wangu.Ina kataaa kabisa ๐
Asante๐๐๐Kwa sauti ya brother k
๐๐๐ mbavu zina uma aseeNikwel mkuu ata sijandanganya make mimi nimeanza kununua kabla ya kutongoza na ilikuwa kama chai wakati wa Barehe yangu. Ikisema uwapange ni ngumu ndo maana nimewarundika kama mawe ya ujenzi
๐๐ na wana enea vzrCoster Moja na bodaboda mbili
InapendezaMimi mlokole kaka, nimejitunza sana katika ujana wangu.
Unabishaโฆโฆ..Asante๐๐๐
Kwani P uli mpataje?Kufanya mapenzi ni nini? Mbona sifahamu๐