Ukiambiwa ubebe watu ulio fanya nao mapenzi uta tumia chombo gani cha usafiri

Ukiambiwa ubebe watu ulio fanya nao mapenzi uta tumia chombo gani cha usafiri

Hapana Mkuu, nimekuwa nikisoma tu humu Vijana wakiongelea

Mimi na Uzee huu, binti akinipa hiyo style si atafanya nife kwa kisukari cha utamu 😜
😂😂😂 washai kukufinyia kwa ndani ili utoe pesa ya kodi?
 
Juzi Jumapili hapo nilisali Aict makongoro mwanza, pastor aliposema wenye kumrudia Mungu tupite mbele tuombewe ikabidi nipite, alipomaliza alisema sasa tumekuwa watu wapya.

Wale wanawake siwatambui kwasasa hah
😂😂 kuna mwanakwaya kakupenda ila ana ogopa kukuambia kanituma
 
Ukiambiwa ubebe watu ulio fanya nao mapenzi uta tumia chombo gani cha usafiri

Mimi nita tumia bajaji na ina baki nafasi ya kukaa mtu mmoja vip wewe 😂
Usiseme watu uliofanya nao mapenzi; sema watu uliozini nao. Uzinzi ni uzinzi tu, usiupake chokaa na kuuita mapenzi. Let us call a spade a spade
"Tubuni, kwa maana ufalme wa Mungu umekaribia" (Mathayo 3:2)
 
Sawa sawa mama mchungaji sharoom kwa sauti ya mc mboneke
 
Back
Top Bottom