mangi ya mbongo
Member
- May 9, 2025
- 5
- 22
Treni la gongo la mboto
Ukipigwa tukio mbona unamuacha mile elfu Moja 😂😂😂😂😂 ana mshinda lucas mwashambwa?
Moyo mgumu uhuuUkipigwa tukio mbona unamuacha mile elfu Moja 😂😂😂
Acha zako wewMi Mtakatifu sehemu ya kucomment imedisapper ghafla
That's my talent😹Mbona kama mwenzangu ni mzoefu kwenye kububujikwa na mchozi wa jicho la kulia halafu la halitoi chozi wala 😂
Kashakimbia tyr inaonekana amekumbuka mbali sana 🤣 😂Mwambie tupo hapa kumsikiliza
Ongea nae kwa uzuriKashakimbia tyr inaonekana amekumbuka mbali sana 🤣 😂
mlango unq fungaPasso
Sio sisi swahiba wengine tunalinda heshima yako🤣🤣🤣Niwasimulie mnirushe mawe
Nyie nawajua humu jf
Dream linerUkiambiwa ubebe watu ulio fanya nao mapenzi uta tumia chombo gani cha usafiri
Mimi nita tumia bajaji na ina baki nafasi ya kukaa mtu mmoja vip wewe 😂
Sema kweliMgongoni
Acha basi mzeeMe ntatumia pikipiki aina ya vespa tutabanana mimi na ma mtoto wangu! Hakuna kupakia mshikaki [emoji1]