Ukiambiwa uunde familia kwa kutumia member wa JF, familia yako itakuwaje?

Jirani mkuda Bujibuji
 
Hii familia nimeipenda sana [emoji847][emoji847]
Thank you mom, vile umenichagulia the right dad yaani umegonga mule mule [emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590]
Mungu anipe nini mimi
Kaka yako pampula umemuona lakini? Una mawifi kijiji kizima na nguvu hata hana[emoji134][emoji134][emoji134]
 
japo we jirani yangu ni mkuda bt nakuelewa sana coz unanifaa kwa mambo mengi hasa kuniletea udaku wote wa mtaaa, nitaendelea uvumilia ukuda wako ili ninufaike zaidi nawew jiran mkuda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…