MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,113
- 65,124
Aaah hapa hapana, nasingiziwa!Mkuu kataskapos sio wewe unatajwa hapo chini ? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jimbo lipo wazi hilo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aaah hapa hapana, nasingiziwa!Mkuu kataskapos sio wewe unatajwa hapo chini ? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jimbo lipo wazi hilo
Anajijua.Mke wangu kawa panya sio ?
[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85]Anko Kataskopos yuko singo, mtafutie totoz nzuri basi!
Anajijua.
Haitaki kwa sababu zake wala haihusiani na hili.Ndio maana mke wangu hataki Jf tena kumbe?
Jirani mkuda BujibujiNatumai hamjambo wanabodi.
Wakuu ikiwa utaambiwa kuunda familia kwa kutumia member wa jamii forums, familia yako itakuwaje? Yangu iitakuwa kama ifuatavyo:
BABA: daud mchambuzi(Baba yangu ni mbabe babe kama huyu mwamba hivo anastahili nafasi hii)
MAMA:khantwe(huyu dada tangu nimfaham hapa ndani naamin ni mama bora)
SHANGAZI:sky eclat(shangazi anapaswa kua mtu serious kidogo type ya huyu dada)
MJOMBA:ushimen(mjomba anapaswa kua mtu kati kama huyu bwana)
BABU:mshana jr(huyu babu najua atanifaa sana nikikutana na changamoto za washirikiana(jokes)
BIBI:kasie(huyu bibi kupitia utani wa bibi na mjukuu wake atanifunza mahaba maana anayajua kupitiliza
MKE: katoto kazuri(napenda mke mchangamfu na mwenye vituko kama huyu dada)
WATOTO: da vinc,kenzy, chakorii, yna2, joanah(napenda watoto wenye akili &watundu, hivo nilowataja wapo wenye akili pia wapo watundu.)
NDUGU WENGINE: wanajamii forums wote waliobaki.
Je kwa upande wako familia yako itakuwaje?.
Kama kidogo sasa!!Ungekoma ukakomazika
Mwalimu mwenyewe ashajikataa maana anajijua ni kilaza.Mmmh mbona kupatwa kwa mwalimu
Kaka yako pampula umemuona lakini? Una mawifi kijiji kizima na nguvu hata hana[emoji134][emoji134][emoji134]Hii familia nimeipenda sana [emoji847][emoji847]
Thank you mom, vile umenichagulia the right dad yaani umegonga mule mule [emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590][emoji3590]
Mungu anipe nini mimi
Haitaki kwa sababu zake wala haihusiani na hili.
Aache kula vitenge vyangu sasa.Mke sio panya bhana.
Muache..
Yaani imegoma kabisa.Hahaha...
Kama inakataa hivi
Ushawahi ona mwanafunzi anamzidi mwalimu akili? Halafu Kaboom njoo huku uone mwanao kapewa baba mpya[emoji1787][emoji1787]
Mmh! Hapana, mimi naomba hiyo familia isiwepo ya hivyo
[emoji1787][emoji1787] unataka iweje kaka