Ukiambiwa uunde familia kwa kutumia member wa JF, familia yako itakuwaje?

KENZY we mtundu sana ndo maana nimekuweka hapo
Aisee mi ni mpole kushinda wote Hapo hamjajua tu! Ukorofi wangu ni nyuma ya key body..
Mnanionea bure tu mi mpole chana..
 
Pole sasa. Fuata nilichowahi kukushauri kaka yetu kwenye familia
Sasa waite wenzako waje hapa tugawane majukumu tuliyopewa na dingi..πŸ˜‚
Ila mwambie kabisa yna2 yale masufuria hawezi kuyaepuka atayaosha tu hata kwa mkono wa bwana.. Joanah leo zamu yake kupika mother kasema.. halafu wewe hakikisha uwanja unafagiliwa na kile kihelehele chako cha uziwanda kiishe leo maswala ya kusema kwa dingi ulinikuta na manzi yaishe leo alasivyo kwenzi takatifu hazitakauka kichwani mwako..
Chakorii dawa yake ipo jikoni inatokota..πŸ˜…

Sasa mtu akaidi maagizo aone..😎
 
Chakorii kakufanyeje mbona unamkamia hvo.?πŸ˜„πŸ˜„

Mtoto wa mwisho sifa yake umbea, Jiandae
Huyo hata mother na dingi washalalamika sana Sasa mi nitamnyoosha mi ndo nilitangulia kuliona jua! Mtu hatulii anaswampa utafikiri alishiriki na sir god ku creat mitaa ya dunia..πŸ˜…
Na lilivyo machepele nitakata mitama najuta kuwa na dada namna yake kila siku kesi..πŸ˜‚πŸƒπŸƒ
 

[emoji23][emoji23][emoji23]
 


Hahahah yani huu uzi bana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Huyo mama yako Khantwe is my dia sista
Shangazi yako Sky Eclat is my dearest bii bii
Mjomba ako huyo Ushimen ni ex wangu na ni baba wa mtoto wetu mpendwa Dickson

Hapo kwenye watoto nipo kwenye kundi la utundu ama akili?🀣🀣
Naombea niwe kwenye utundu manake akili sinaga πŸ˜‚
 
We are a family mjukuu
 


Hivi mama ni katoto kazuri?πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

We are dead!!
 
joanah bint yangu wa jf, we upo kwenye kundi la wanangu watundu pamoja na kenzy na chakorii bt sie wazazi wenu tunapenda utundu wenu maana unatufurahisha, itakua ukorofi huu mmerithi kwa babu yenu Daud mchambuzi.
 

Hivi mbona kama Chakorii ndio aliambiwa apike na kufua zile nguo za mama?

Nakumbuka mie nilimbiwa leo nilale tu niamke muda wa kula πŸ˜‚
 
Ila mleta mada kweli nimekosa uziwanda kwenye familia yako.
 
Hivi mbona kama Chakorii ndio aliambiwa apike na kufua zile nguo za mama?

Nakumbuka mie nilimbiwa leo nilale tu niamke muda wa kula πŸ˜‚
Mi msinisumbue mtajuana mtafute chakorii na sijui utampatia wapi mi naenda kula misele sasa nije nikute mnacheza dama ndo mtaelewa the ngumi iz the nini..πŸ˜…

Mi ndo Kaka yenu..😜
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…