Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KENZY we mtundu sana ndo maana nimekuweka hapo
Aisee mi ni mpole kushinda wote Hapo hamjajua tu! Ukorofi wangu ni nyuma ya key body..Ila hii familia jamani🙆 mama katoto kazuri baba wewe..watoto Kuna kenzy na chakoriiii 🤣🤣🤣 Bora joannah na da vinc Cha upole..Mimi sitabiriki dk mbili mbele....tutawaua na presha aisee..hii familia Bibi kantwe aingilie Kati.
Wewe ni kaka...sema mi sina ushemeji kwo chunga mali yako kaka..mkuu mshana ni babu yangu kwa hiyo wewe nitakuitaje?
Sasa waite wenzako waje hapa tugawane majukumu tuliyopewa na dingi..😂Pole sasa. Fuata nilichowahi kukushauri kaka yetu kwenye familia
Huyo hata mother na dingi washalalamika sana Sasa mi nitamnyoosha mi ndo nilitangulia kuliona jua! Mtu hatulii anaswampa utafikiri alishiriki na sir god ku creat mitaa ya dunia..😅Chakorii kakufanyeje mbona unamkamia hvo.?😄😄
Mtoto wa mwisho sifa yake umbea, Jiandae
Natumai hamjambo wanabodi.
Wakuu ikiwa utaambiwa kuunda familia kwa kutumia member wa jamii forums, familia yako itakuwaje? Yangu iitakuwa kama ifuatavyo:
BABA: daud mchambuzi(Baba yangu ni mbabe babe kama huyu mwamba hivo anastahili nafasi hii)
MAMA:khantwe(huyu dada tangu nimfaham hapa ndani naamin ni mama bora)
SHANGAZI:sky eclat(shangazi anapaswa kua mtu serious kidogo type ya huyu dada)
MJOMBA:ushimen(mjomba anapaswa kua mtu kati kama huyu bwana)
BABU:mshana jr(huyu babu najua atanifaa sana nikikutana na changamoto za washirikiana(jokes)
BIBI:kasie(huyu bibi kupitia utani wa bibi na mjukuu wake atanifunza mahaba maana anayajua kupitiliza
MKE: katoto kazuri(napenda mke mchangamfu na mwenye vituko kama huyu dada)
WATOTO: da vinc,kenzy, chakorii, yna2, joanah(napenda watoto wenye akili &watundu, hivo nilowataja wapo wenye akili pia wapo watundu.)
NDUGU WENGINE: wanajamii forums wote waliobaki.
Je kwa upande wako familia yako itakuwaje?.
mkuu nakushtaki kwa balozi wa nyumba kumi kuicheka familia yangu.[emoji23][emoji23][emoji23]

familia yenyewe inachekesha 😂😂😂😂mkuu nakushtaki kwa balozi wa nyumba kumi kuicheka familia yangu.
We are a family mjukuuHahahah yani huu uzi bana 😂😂😂😂
Huyo mama yako Khantwe is my dia sista
Shangazi yako Sky Eclat is my dearest bii bii
Mjomba ako huyo Ushimen ni ex wangu na ni baba wa mtoto wetu mpendwa Dickson
Hapo kwenye watoto nipo kwenye kundi la utundu ama akili?🤣🤣
Naombea niwe kwenye utundu manake akili sinaga 😂
Ila hii familia jamani🙆 mama katoto kazuri baba wewe..watoto Kuna kenzy na chakoriiii 🤣🤣🤣 Bora joannah na da vinc Cha upole..Mimi sitabiriki dk mbili mbele....tutawaua na presha aisee..hii familia Bibi kantwe aingilie Kati.
Sasa waite wenzako waje hapa tugawane majukumu tuliyopewa na dingi..😂
Ila mwambie kabisa yna2 yale masufuria hawezi kuyaepuka atayaosha tu hata kwa mkono wa bwana.. Joanah leo zamu yake kupika mother kasema.. halafu wewe hakikisha uwanja unafagiliwa na kile kihelehele chako cha uziwanda kiishe leo maswala ya kusema kwa dingi ulinikuta na manzi yaishe leo alasivyo kwenzi takatifu hazitakauka kichwani mwako..
Chakorii dawa yake ipo jikoni inatokota..😅
Sasa mtu akaidi maagizo aone..😎
Mi msinisumbue mtajuana mtafute chakorii na sijui utampatia wapi mi naenda kula misele sasa nije nikute mnacheza dama ndo mtaelewa the ngumi iz the nini..😅Hivi mbona kama Chakorii ndio aliambiwa apike na kufua zile nguo za mama?
Nakumbuka mie nilimbiwa leo nilale tu niamke muda wa kula 😂
Bwana mkubwa Daudi Mchambuzi
Ila we dogo akili zako unazijuaga tu mwenyeweMimi nataka wake wawili kwa ajili ya threesome