Ukiambiwa uunde familia kwa kutumia member wa JF, familia yako itakuwaje?

KENZY we mtundu sana ndo maana nimekuweka hapo
Ila hii familia jamani🙆 mama katoto kazuri baba wewe..watoto Kuna kenzy na chakoriiii 🤣🤣🤣 Bora joannah na da vinc Cha upole..Mimi sitabiriki dk mbili mbele....tutawaua na presha aisee..hii familia Bibi kantwe aingilie Kati.
Aisee mi ni mpole kushinda wote Hapo hamjajua tu! Ukorofi wangu ni nyuma ya key body..
Mnanionea bure tu mi mpole chana..
 
Pole sasa. Fuata nilichowahi kukushauri kaka yetu kwenye familia
Sasa waite wenzako waje hapa tugawane majukumu tuliyopewa na dingi..😂
Ila mwambie kabisa yna2 yale masufuria hawezi kuyaepuka atayaosha tu hata kwa mkono wa bwana.. Joanah leo zamu yake kupika mother kasema.. halafu wewe hakikisha uwanja unafagiliwa na kile kihelehele chako cha uziwanda kiishe leo maswala ya kusema kwa dingi ulinikuta na manzi yaishe leo alasivyo kwenzi takatifu hazitakauka kichwani mwako..
Chakorii dawa yake ipo jikoni inatokota..😅

Sasa mtu akaidi maagizo aone..😎
 
Chakorii kakufanyeje mbona unamkamia hvo.?😄😄

Mtoto wa mwisho sifa yake umbea, Jiandae
Huyo hata mother na dingi washalalamika sana Sasa mi nitamnyoosha mi ndo nilitangulia kuliona jua! Mtu hatulii anaswampa utafikiri alishiriki na sir god ku creat mitaa ya dunia..😅
Na lilivyo machepele nitakata mitama najuta kuwa na dada namna yake kila siku kesi..😂🏃🏃
 
Natumai hamjambo wanabodi.

Wakuu ikiwa utaambiwa kuunda familia kwa kutumia member wa jamii forums, familia yako itakuwaje? Yangu iitakuwa kama ifuatavyo:

BABA: daud mchambuzi(Baba yangu ni mbabe babe kama huyu mwamba hivo anastahili nafasi hii)

MAMA:khantwe(huyu dada tangu nimfaham hapa ndani naamin ni mama bora)

SHANGAZI:sky eclat(shangazi anapaswa kua mtu serious kidogo type ya huyu dada)

MJOMBA:ushimen(mjomba anapaswa kua mtu kati kama huyu bwana)

BABU:mshana jr(huyu babu najua atanifaa sana nikikutana na changamoto za washirikiana(jokes)

BIBI:kasie(huyu bibi kupitia utani wa bibi na mjukuu wake atanifunza mahaba maana anayajua kupitiliza

MKE: katoto kazuri(napenda mke mchangamfu na mwenye vituko kama huyu dada)

WATOTO: da vinc,kenzy, chakorii, yna2, joanah(napenda watoto wenye akili &watundu, hivo nilowataja wapo wenye akili pia wapo watundu.)

NDUGU WENGINE: wanajamii forums wote waliobaki.

Je kwa upande wako familia yako itakuwaje?.

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hahahah yani huu uzi bana 😂😂😂😂

Huyo mama yako Khantwe is my dia sista
Shangazi yako Sky Eclat is my dearest bii bii
Mjomba ako huyo Ushimen ni ex wangu na ni baba wa mtoto wetu mpendwa Dickson

Hapo kwenye watoto nipo kwenye kundi la utundu ama akili?🤣🤣
Naombea niwe kwenye utundu manake akili sinaga 😂
 
We are a family mjukuu
 
joanah bint yangu wa jf, we upo kwenye kundi la wanangu watundu pamoja na kenzy na chakorii bt sie wazazi wenu tunapenda utundu wenu maana unatufurahisha, itakua ukorofi huu mmerithi kwa babu yenu Daud mchambuzi.
 
Sasa waite wenzako waje hapa tugawane majukumu tuliyopewa na dingi..😂
Ila mwambie kabisa yna2 yale masufuria hawezi kuyaepuka atayaosha tu hata kwa mkono wa bwana.. Joanah leo zamu yake kupika mother kasema.. halafu wewe hakikisha uwanja unafagiliwa na kile kihelehele chako cha uziwanda kiishe leo maswala ya kusema kwa dingi ulinikuta na manzi yaishe leo alasivyo kwenzi takatifu hazitakauka kichwani mwako..
Chakorii dawa yake ipo jikoni inatokota..😅

Sasa mtu akaidi maagizo aone..😎

Hivi mbona kama Chakorii ndio aliambiwa apike na kufua zile nguo za mama?

Nakumbuka mie nilimbiwa leo nilale tu niamke muda wa kula 😂
 
Ila mleta mada kweli nimekosa uziwanda kwenye familia yako.
 
Hivi mbona kama Chakorii ndio aliambiwa apike na kufua zile nguo za mama?

Nakumbuka mie nilimbiwa leo nilale tu niamke muda wa kula 😂
Mi msinisumbue mtajuana mtafute chakorii na sijui utampatia wapi mi naenda kula misele sasa nije nikute mnacheza dama ndo mtaelewa the ngumi iz the nini..😅

Mi ndo Kaka yenu..😜
 
Back
Top Bottom