Ukiambiwa uunde familia kwa kutumia member wa JF, familia yako itakuwaje?

Ukiambiwa uunde familia kwa kutumia member wa JF, familia yako itakuwaje?

Yani ndiyo nishayaepuka siwezi osha vyombo wakati madogo Joanah na [USER=300964]Chakorii[/USER] wapo...๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Alafu mwambie vinc akafunge bomba kule nje maana namuoana mama sikujua anachota tu alafu pesa halipi...
Nawewe kenzy ukafue nguo za dogo vinc muache Chakorii azururee

Cha ubishi Chakorii
 
Aisee dingi yuzazifu Kama mi si first born nitoe kwenye familia yako unaona hili dada lililoshindikana linatakanichenjia..๐Ÿ˜‚
Halafu tatizo hajui kupigana ila kuuma Sasa..๐Ÿคฃ

We kama unataka Vita ya tatu jitwaze uongozi uone navyokutwanga mingumi kitaeleweka tu..
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…ndo nishagoma kufanya kazi sasa..naenda zurura huko mtaani
 
Garden boy. Umnisahau sio kesi mwisho wa mwezi huu nipe changu nirudi mkoa nikachome mkaa
 
mwanangu chakorii mheshim kaka yako KENZY huyu ndo first born wenu, mnapofanya utundu wenu mzivuke mipaka atawacharaza maana nishampa ruhusa.
 
mwanangu chakorii mheshim kaka yako KENZY huyu ndo first born wenu, mnapofanya utundu wenu mzivuke mipaka atawacharaza maana nishampa ruhusa.
Na MR. IBU ni nani sasa..simtaki huyo kaka KENZY ni mtata hatukawii toana ngeu.nibadilishie kaka.
 
๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… MR. IBU ndi kaka mkubwa babako kasema kule juu
Dingi aliaanza utundu mapema sana wakati akiwa shule,Yeye akiwa secondary na Mama akiwa shule ya msingi darasa la sita.
Kamdanganya mama anamfundisha masomo ya ziada na baadae akampa kitu cha ziada kweli.
Mimi ndio bro wenu mkubwa ila wa nje ya ndoa nasubili mdingi adanje nije kuleta fujo za ulisi..mjiandae.
 
Karibu kaka mkubwa mimi nimekupokea kwa mikono miwili.ila tatizo lipo kwa huyu kaka mwingine anaitwa KENZY sijui kama mtapata elewana.ni moto zaidi ya wa petrol
 
Awe mi ndo likaka lenu halafu unanituma! Leo utaeleza tu wapi umekosea na hicho kiburi kakuveka nani ila ngoja kwanza nikivue ili umseme vizuri..

Vinci na chakorii leteni bakora shughuli ianze..๐Ÿ˜…
Braza unajikuta m'babeeee...hivi unadhani chakorii na vinc watakuunga mkono..??!!!
Wenyewe wamekuchoka na udikteta wako..Sasa Waite tukuchangie
 
Nauli unayo kaka wa kati!au nikuchangie uchukue uber uwahi fika kwa wifi
Haya matoto ya hivi ndio yanayoharibu miji the dingi kashasema mi ndo first born Sasa nitadili nawe mpk kieleweke nani ni nani..๐Ÿ˜‚
 
mwanangu KENZY, wachunge sana madada zako maana mlinzi kashanambia kuna vinjemba vinawaijia tunapokua kazini, kazi hii nilimpa da vinc mdogo wako bt nadhani anawaonea aibu dada zake...
 
Karibu kaka mkubwa mimi nimekupokea kwa mikono miwili.ila tatizo lipo kwa huyu kaka mwingine anaitwa KENZY sijui kama mtapata elewana.ni moto zaidi ya wa petrol
Huyo atatulia tu,kwanza hajafanana na mdingi hapo itabidi wakapime DNA.Na itabidi bi mdashi atueleze vizuri hii mbegu kaitoa wapi.Na kwenye ulisi asiji hesabie.
 
Karibu kaka mkubwa mimi nimekupokea kwa mikono miwili.ila tatizo lipo kwa huyu kaka mwingine anaitwa KENZY sijui kama mtapata elewana.ni moto zaidi ya wa petrol
Dingi keshamaliza we mpake mafuta huyo mtu wako kwa mgongo wa chupa..๐Ÿ˜…
Halafu huyo jamaa si ndo yule alieiba viatu vya watu walikuwa wameingia msikitini..๐Ÿ˜‚
Nyie leteni balaa tu
 
Back
Top Bottom