Chakorii
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 18,773
- 51,429
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
๐ ๐ ๐ ndo nishagoma kufanya kazi sasa..naenda zurura huko mtaaniAisee dingi yuzazifu Kama mi si first born nitoe kwenye familia yako unaona hili dada lililoshindikana linatakanichenjia..๐
Halafu tatizo hajui kupigana ila kuuma Sasa..๐คฃ
We kama unataka Vita ya tatu jitwaze uongozi uone navyokutwanga mingumi kitaeleweka tu..
Elewa basi cha utunduYani ndiyo nishayaepuka siwezi osha vyombo wakati madogo Joanah na Chakorii wapo...๐๐ Alafu mwambie vinc akafunge bomba kule nje maana namuoana mama sikujua anachota tu alafu pesa halipi...
Nawewe kenzy ukafue nguo za dogo vinc muache [SIZE=26px]chakorii[/SIZE] azurure
Yan hata tuwe wap lazima tuweke orders [emoji41][emoji41]Haaaaaaa
Haaa haaa siamini hayo, [emoji23][emoji23] labdaYan hata tuwe wap lazima tuweke orders [emoji41][emoji41]
Waambie hao..๐mwanangu chakorii mheshim kaka yako KENZY huyu ndo first born wenu, mnapofanya utundu wenu mzivuke mipaka atawacharaza maana nishampa ruhusa.
Dingi aliaanza utundu mapema sana wakati akiwa shule,Yeye akiwa secondary na Mama akiwa shule ya msingi darasa la sita.๐ ๐ MR. IBU ndi kaka mkubwa babako kasema kule juu
Karibu kaka mkubwa mimi nimekupokea kwa mikono miwili.ila tatizo lipo kwa huyu kaka mwingine anaitwa KENZY sijui kama mtapata elewana.ni moto zaidi ya wa petrolDingi aliaanza utundu mapema sana wakati akiwa shule,Yeye akiwa secondary na Mama akiwa shule ya msingi darasa la sita.
Kamdanganya mama anamfundisha masomo ya ziada na baadae akampa kitu cha ziada kweli.
Mimi ndio bro wenu mkubwa ila wa nje ya ndoa nasubili mdingi adanje nije kuleta fujo za ulisi..mjiandae.
Braza unajikuta m'babeeee...hivi unadhani chakorii na vinc watakuunga mkono..??!!!Awe mi ndo likaka lenu halafu unanituma! Leo utaeleza tu wapi umekosea na hicho kiburi kakuveka nani ila ngoja kwanza nikivue ili umseme vizuri..
Vinci na chakorii leteni bakora shughuli ianze..๐
Haya matoto ya hivi ndio yanayoharibu miji the dingi kashasema mi ndo first born Sasa nitadili nawe mpk kieleweke nani ni nani..๐Nauli unayo kaka wa kati!au nikuchangie uchukue uber uwahi fika kwa wifi
Huyo atatulia tu,kwanza hajafanana na mdingi hapo itabidi wakapime DNA.Na itabidi bi mdashi atueleze vizuri hii mbegu kaitoa wapi.Na kwenye ulisi asiji hesabie.Karibu kaka mkubwa mimi nimekupokea kwa mikono miwili.ila tatizo lipo kwa huyu kaka mwingine anaitwa KENZY sijui kama mtapata elewana.ni moto zaidi ya wa petrol
Dingi keshamaliza we mpake mafuta huyo mtu wako kwa mgongo wa chupa..๐Karibu kaka mkubwa mimi nimekupokea kwa mikono miwili.ila tatizo lipo kwa huyu kaka mwingine anaitwa KENZY sijui kama mtapata elewana.ni moto zaidi ya wa petrol