Ukiamua kuwa na mahusiano na mume/mke wa mtu lazima ukubali kuwa mtumwa

Unaweza ambiwa niko na wife kumbe yuko kwa mchepuko mwingine. Anaweza sema nimelala na wife kumbe mke kasafiri na yeye kalala kwingine
 
Muwe mnatuvumilia tu jamani, pia tunawashukuru kwa kutuelewa tukiwa katika hayo mazingira
 
Kafanyaje??[emoji2371][emoji2371]
Huyu kenge yani amejitengenezea mpaka ki-cirlce yani mimi,mke wangu na yeye.

Alafu imefikia hatua eti anakuwa na wivu na mke wangu kunizidi ata muhusika.

Yani iko hivi akiniona niko na mke wangu haina shida hiyo kwake yani safi kabisa ila akimkuta na mtu mwengine na ngumi inarusha hii kenge bila hofu yoyote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…