Ukiamua kuwa na mahusiano na mume/mke wa mtu lazima ukubali kuwa mtumwa

Nipambane na mke wa mtu wa Nini?aisee,watoto wote Hawa wazuri ambao wako single nimuachie nani?MKE WA MTU NI KHATARI...
 
unaweza kuwa uko nae unampelekea moto wanyabi wanakaribia kutoka ghafla simu ya mumewe inaita..utasikia huyo ni baba careen subiri nipokee
 
Yaani kajipa kazi ya kumlinda mkeo?
 
Na wale Wanaume wanaocheat na wanawake nje, wanakua na wivu kama wamewaoa mnawazungumziaje?
[emoji28][emoji28][emoji28] mwanaume ni mwanaume tu ndio.maana tuoa hatuolewi

kaulimbiu:

"Hakuna mtoto wa nje wote wa ndani"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…