Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,729
- 18,119
Njoo tuchukuane kabla watu hawajaishaHumu wengi wanaringa wanataka wadate na malaika mtakaa mpaka Yesu akuchukue watu wamesha panga maisha yao wanasubiri tu kuwa na watoto basi .
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Njoo tuchukuane kabla watu hawajaishaHumu wengi wanaringa wanataka wadate na malaika mtakaa mpaka Yesu akuchukue watu wamesha panga maisha yao wanasubiri tu kuwa na watoto basi .
Aiseee.....
Nipambane na mke wa mtu wa Nini?aisee,watoto wote Hawa wazuri ambao wako single nimuachie nani?MKE WA MTU NI KHATARI...1. Baby samahani dakika moja, baby anapiga simu.
2. Baby muda umeenda Sana hubby wangu atanipigia, wacha niwahi kurudi nyumbani, Kesho saa 12 nitakuwa hapa
3. Baby nataka kuja kulala kwako baby Wangu amefiwa kaenda kwao
4. Baby sintaweza kuja Leo, hubby kanibana... Pole kwa kuugua
5. Baby tangulia mbele, nitakukuta... Pale wanakaa shemeji zangu, wakituona pamoja watamuambia hubby
6. Unaweza kimbiwa katikati ya sherehe usipewe hata nauli ya bodaboda, kesho unaambiwa sorry darling, si uliona hubby alitokea ghafa
7. Mkiwa mnaongea kwa simu kwa mahaba mara unashtukia unaitwa Jenny na kuagwa fasta., baadae unaambiwa mme wangu alitokea ghafla nikawa sina jinsi
8. Unaweza pitwa barabarani na mvua inanyesha,kesho ukaambiwa nilikuona my love, Ila ningefanya nini, nilikua na mme wangu.
9. Unaweza mpigia simu inaita wee hapokei kumbe yupo na mmew.
10. Unaweza tamani kuwa nae siku iyo akakwambia nina ratiba na mme m wangu leo kuna mahali naenda nae.
11. Unaweza onyeshwa Mali alizo nao na uwezo Wa kuzitumia huna, unaishia kula kwa macho tu.
12. Unaweza ambiwa usinitumie msg mme ataona, huna Uhuru.
13.Unaweza ambiwa tulia niongee na mme anapiga simu.
14. Unaweza ambiwa mda flan usinitafute ntakua na mme, usipige simu.
Yaan ni full purukushani Sa kama una wivu utajinyonga [emoji1]
Nipambane na mke wa mtu wa Nini?aisee,watoto wote Hawa wazuri ambao wako single nimuachie nani?MKE WA MTU NI KHATARI...
Haki nmecheka [emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23] aaahAcha stress huo ulionao umekufikisha wapi ukitegemea mshahara utakufa umesimama
Aisee kwahiyo kipimo Cha kukua NI kutembea na mke wa mtu?AISEE?VAA NGUO MKUU,UKO UCHITulia kunywa maji mengi hujakuwa
Acha umarioo,IPO SIKU utapigwa paipuTulia kunywa maji mengi hujakuwa
ukifika dar, karibu ghettoHumu wengi wanaringa wanataka wadate na malaika mtakaa mpaka Yesu akuchukue watu wamesha panga maisha yao wanasubiri tu kuwa na watoto basi .
unaweza kuwa uko nae unampelekea moto wanyabi wanakaribia kutoka ghafla simu ya mumewe inaita..utasikia huyo ni baba careen subiri nipokee1. Baby samahani dakika moja, baby anapiga simu.
2. Baby muda umeenda Sana hubby wangu atanipigia, wacha niwahi kurudi nyumbani, Kesho saa 12 nitakuwa hapa
3. Baby nataka kuja kulala kwako baby Wangu amefiwa kaenda kwao
4. Baby sintaweza kuja Leo, hubby kanibana... Pole kwa kuugua
5. Baby tangulia mbele, nitakukuta... Pale wanakaa shemeji zangu, wakituona pamoja watamuambia hubby
6. Unaweza kimbiwa katikati ya sherehe usipewe hata nauli ya bodaboda, kesho unaambiwa sorry darling, si uliona hubby alitokea ghafa
7. Mkiwa mnaongea kwa simu kwa mahaba mara unashtukia unaitwa Jenny na kuagwa fasta., baadae unaambiwa mme wangu alitokea ghafla nikawa sina jinsi
8. Unaweza pitwa barabarani na mvua inanyesha,kesho ukaambiwa nilikuona my love, Ila ningefanya nini, nilikua na mme wangu.
9. Unaweza mpigia simu inaita wee hapokei kumbe yupo na mmew.
10. Unaweza tamani kuwa nae siku iyo akakwambia nina ratiba na mme m wangu leo kuna mahali naenda nae.
11. Unaweza onyeshwa Mali alizo nao na uwezo Wa kuzitumia huna, unaishia kula kwa macho tu.
12. Unaweza ambiwa usinitumie msg mme ataona, huna Uhuru.
13.Unaweza ambiwa tulia niongee na mme anapiga simu.
14. Unaweza ambiwa mda flan usinitafute ntakua na mme, usipige simu.
Yaan ni full purukushani Sa kama una wivu utajinyonga [emoji1]
Na ramadhani hii jamani???[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nataka mume wa mtu mie
Umewaonja mkuu?Ila watramuuuu jamani!! Wanacare sana
AstaghfirullahWatamuu
AiseeeeeSasa mwanaume wa mtu asiyenapesa wa nini tena?????
Asiyejua kuhonga wa kazi gani?
Akapambane na mkewe.......
Utasikia samahan baby, mwenyewe yupo tuache kuchat.hata kwa Wake za watu
Yaani kajipa kazi ya kumlinda mkeo?Huyu kenge yani amejitengenezea mpaka ki-cirlce yani mimi,mke wangu na yeye.
Alafu imefikia hatua eti anakuwa na wivu na mke wangu kunizidi ata muhusika.
Yani iko hivi akiniona niko na mke wangu haina shida hiyo kwake yani safi kabisa ila akimkuta na mtu mwengine na ngumi inarusha hii kenge bila hofu yoyote.
[emoji28][emoji28][emoji28] mwanaume ni mwanaume tu ndio.maana tuoa hatuolewiNa wale Wanaume wanaocheat na wanawake nje, wanakua na wivu kama wamewaoa mnawazungumziaje?
Anza na mimi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nataka mume wa mtu mie
Hajafunga huyu mkaribishe mnadani Kibamba ChamaNa ramadhani hii jamani???
Walaa[emoji2371][emoji2371]Mkuu mchepuko wako anakusumbua nini..!???
Naona ushakuwa mwana falsafa siku hizi.