Ukiangalia hii ramani lazima utawasupport Israel wako sahihi

Hilo eneo lote linalokaliwa na Wazayuni, wanaojiita Waisrael ni PALESTINA.

Hao wahuni ni Wazungu waliotoka Ulaya wakapelekwa hapo wakapokelewa na wamewageuka Palestina.

Hao Wahuni siyo Waisrael wa Biblia.
View attachment 3676524
hakuna watu wanaitwa wapalestina , Palestina ni jina la kikolon sio asili ya watu
 
hakuna watu wanaitwa wapalestina , Palestina ni jina la kikolon sio asili ya watu



Kama unasema hakuna watu wanaoitwa Wapalestina kwa sababu “Palestina” ni jina la kikoloni, Biblia yenyewe inapingana na hoja hiyo.

Biblia inataja “nchi ya Wafilisti” (Kutoka 15:14; Isaya 14:29,31) na “watu wa Palestina” katika baadhi ya tafsiri za Biblia (Yoeli 3:4).

Kwa hiyo, jina la eneo na watu wanaoishi humo lina historia ya zamani sana. Kubishana kwamba jina “Palestina” lilianzishwa tu na ukoloni wa kisasa si sahihi kihistoria wala kibiblia.

Lete mstari wa Biblia unaosema hakuna watu waliokuwa wakiitwa Wafilisti/Palestina.
 
Itoe hiyo Israel iweke EU na USA kwa pamoja Israel ni wawakilishi tu wa hizo nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…