Ukiangalia hii ramani lazima utawasupport Israel wako sahihi

Mbona maelezo kwenye hiyo clip imeandika "Jews arrive in Palestina ........" halafu wewe unasema siyo Wayahudi?
Amesema sio waisrael/Israelites

Tofautisha mkuu hivyo vitu viwili
-uyahudi ni Dini mtu yoyote anaweza kuwa myahudi, mzungu, mwarabu, Mu Africa etc.
- Israelites ama wana wa Israel ni descendants wa Yaqubu/Jacob ambapo kuna makabila 12.

Hawa wazungu wa sasa ni wayahudi wa kusilimu, walibadili dini na kuwa wayahudi hivyo sio waisrael walioandikwa kwenye Biblia, Quran na vitabu vingine, ndio maana walipiga marufuku kupima DNA.
 
Kama warabu wanaweza kuwa warabu kwanini dini ya kiyahudi haizidi watu million 30 kati ya watu billion 8

Quran mnadai ilishushwa ila wewe unasema ilindikwa na waisrael huwaga mnashangaza sana
 
Wapi nimesema imeandikwa na Waisrael?

Guys kutokana na nature za reply za huyu jamaa kuna possiblity kubwa sio Binadamu ni AI inajibu ama Nati mbili tatu kwenye kichwa zimekatika.
 
Sijaelewa unapingana na maelekezo ya Mungu au unashabikia udhaifu wa waliopewa hiyo mipaka kushindwa kuwafukuza wakazi na kuyamiliki wakaishia kuona nao.
Mbona maelezo ya Mungu yamenyooka sana hapo juu. Elena uo
Sipingani na Mungu; nauliza ushahidi wa kile unachodai. Wewe umesema Mungu aliwapa eneo hilo lote. Basi onyesha Biblia inavyosema walimiliki lote. Kutaja mipaka si sawa na kuthibitisha kwamba waliimiliki yote. Lete aya ya umiliki huo, si maelekezo tu.
 
NI eneo lao ndo maana walipewa kiti UN
 
Sipingani na Mungu; nauliza ushahidi wa kile unachodai. Wewe umesema Mungu aliwapa eneo hilo lote. Basi onyesha Biblia inavyosema walimiliki lote. Kutaja mipaka si sawa na kuthibitisha kwamba waliimiliki yote. Lete aya ya umiliki huo, si maelekezo tu.
Baba yako akikuambia ukifika nyumbani utakuta maandazi saba na sambusa nne ule wewe ukafika ukala andazi moja kwa hofu zako. Tatizo ni Baba yako au wewe. Unatakaje ushahidi kwa kula mandarin saba na sambusa nne ikiwa hadi leo yapo na wahusika wanaishia kula robo andazi.

Mbona vitu viko wazi sana
 
Kuna jamaa kwenye video za Zamani Isis/Al qaeda alikua wakikata watu vichwa anapost anapiga navyo selfie, Leo naye ana cheo kikubwa Serikali ya Syria marafiki wa Trump Ambao hawakauki white house
View attachment 3678326
IMG_7199.jpeg
 
Back
Top Bottom