zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,661
- 40,890
Anashambuliwa huko kwa druze na kambi za Turkey ila bado ndio waaongoza serikali na walisaidiwa na hao hao wayahudi kumpiga Al Assad.Syria kila uchwao inashambuliwa na israel au unajitoa ufahamu
Sasa swali kwanini US na Israel wamekubali na kuweka serikali ya Al qaeda kutawala Syria? Ila kwa Hamas mnawaita magaidi? Huu unafiki ndio naopinga. Yaani kuitwa gaidi ni mpaka US na Israel waamue na sio matendo yao!!
Cha ajabu na wewe unayejipambanua kama msomi humu JF unaingia huu mtego!! Ukiwa Rais si ndio tumeisha.