Wanajiita uu.Mbona maelezo kwenye hiyo clip imeandika "Jews arrive in Palestina ........" halafu wewe unasema siyo Wayahudi?
Hao ni europeans, asili ya Ashkenaz
Wanajiita uu.Mbona maelezo kwenye hiyo clip imeandika "Jews arrive in Palestina ........" halafu wewe unasema siyo Wayahudi?
Mbona Hamas wakipigania wanaitwa magaidi?waliipigania ndo wakaunda taifa lao
Ndio magaidi jiulize kwanini mpaka wa egypt na gaza wanakotawala hamas uko hiviMbona Hamas wakipigania wanaitwa magaidi?
Kwa nini Hamas wanaitwa magaidi?Ndio magaidi jiulize kwanini mpaka wa egypt na gaza wanakotawala hamas uko hivi
View attachment 3677491
Kumbuka hata viongozi wa nchi za kiarabu wako waliotambua hamas kama kundi la kigaidi akiwemo Rais wa sasa wa egypt
Exactly, kuwa chini ya ukoloni hakumaanishi mtu hana haki ya kuwa taifa huru.Ilikuwa chini ya utawala wakoloni
Egypt si wamesha sign Camp David Accords so wameshakua vibaraka wa Israel kitambo tu na sio sababu eti ni MAGAIDI.Ndio magaidi jiulize kwanini mpaka wa egypt na gaza wanakotawala hamas uko hivi
Hao ni vibaraka tu, maana kama issue ni ugaidi mbona Al qaeda ni magaidi ila wamepewa support na hao US/Israel kuchukua serikali ya Syria.Kumbuka hata viongozi wa nchi za kiarabu wako waliotambua hamas kama kundi la kigaidi akiwemo Rais wa sasa wa egypt
Watu wake wapi sababu jina la palestina lilitolewa mwaka 135 na wagirikiExactly, kuwa chini ya ukoloni hakumaanishi mtu hana haki ya kuwa taifa huru.
Kwahiyo Palestina na watu wake walikuwepo miaka na miaka hapo licha ya kuwa chini ya ukoloni lakini haiondoi utaifa wao.
Ukumbuke pia walipigania taifa lao kutumia vikundi vya KIGAIDI.waliipigania ndo wakaunda taifa lao
Mtu yeyote yuko kinyume unasema ni kibarakaEgypt si wamesha sign Camp David Accords so wameshakua vibaraka wa Israel kitambo tu na sio sababu eti ni MAGAIDI.
Hao ni vibaraka tu, maana kama issue ni ugaidi mbona Al qaeda ni magaidi ila wamepewa support na hao US/Israel kuchukua serikali ya Syria.
Yaani Al qaeda sio magaidi ila hamas ndio wanaitwa magaidi? Mpo serious kweli
Unaongea irrelevance, hata taifa la Tanganyika halikuwepo kabla ya 1960 je ina maana hakukua na wakazi? Hao kina Mkwawa walikua wanaishi angani?Watu wake wapi sababu jina la palestina lilitolewa mwaka 135 na wagiriki
Wapalestina ni wayahudi na warabu kwa pamoja walikuwa wanaitwa wapalestina
Ndo hao watu walipewa option ya kuwa nchi wengine wakakubali wengine wakakata alafu leo wanalalamika wanaonewaUnaongea irrelevance, hata taifa la Tanganyika halikuwepo kabla ya 1960 je ina maana hakukua na wakazi? Hao kina Mkwawa walikua wanaishi angani?
Same to palestinians wameishi hapo miaka mingi whether walikua chini ya ukoloni miaka yote au waliitwa waarabu/canaanites haibadili facts kuwa kulikuwepo na Arab/semitic community within the area who are now referred to as palestinians.
Nchi ni WATU na sio jina la nchi lilitokea wapi au wanatambulikaje kimataifa.
Wanatwa vibaraka sababu wamekubali ku normalise mahusiano na Israel kwa ajili ya kupata matrilion ya USA. Jordan, Egypt wanapewa mabilioni ya dollar kila mwaka kwa ajili tu ya kuendelea kuwa na amani na Israel. Huo sio ukibaraka?Mtu yeyote yuko kinyume unasema ni kibaraka
Jordan waliwakaribisha PLO ila september mwaka 1970 almanusura nchi yao ichukuliwe na kina Arafat kupitia jaribio la mapinduzi lilofeli kwa hiyo jordan wakiwaita ni magaidi utasema ni vibaraka
Ndio una haki ya kukataa ili udai kikubwa zaidi. Hata Afrika kusini ilipata uhuru miaka ya 1910s huko ila watu weusi akiwemo Mandela walikataa kutambua uhuru huo na walikomaa hadi 1994 walipopata "uhuru" wa kweli.Ndo hao watu walipewa option ya kuwa nchi wengine wakakubali wengine wakakata alafu leo wanalalamika wanaonewa
Yaani ukatae option ya kuwa nchi alafu baadae ulalamike unaonewa siukichaa huo
Wayahudi walikuwa sehemu ya wapalestina ni tofauti na wazungu wa south afrikaNdio una haki ya kukataa ili udai kikubwa zaidi. Hata Afrika kusini ilipata uhuru miaka ya 1910s huko ila watu weusi akiwemo Mandela walikataa kutambua uhuru huo na walikomaa hadi 1994 walipopata "uhuru" wa kweli.
Kwahiyo hata Palestina wanaweza kataa nusu mkate ili waje kupata mkate mzima. Inaweza isiwe leo au kesho ila siku itakuja tu na wao watakomboa eneo lao kama Afrika Kusini au Vietnam waliokataa nusu mkate.
Jifunze historia, uwe na reference za kutosha.
We hujitambui, kwahiyo ikiwa one state solution unajua kuna wapalestina wangapi Hapo Israel, Lebanon, Syria na Jordan hao wote wakiwa raia wa Israel unategemea hawatomezwa? Wayahudi wanazaliana wachache kuliko wapalestina so hata ikiwa one state baada ya miaka 50 mbele itakua palestina ni wengi kuliko wayahudi na hapo hata mapinduzi yakifanyika yanatiki.Hakujawahi na hakutatokea taifa linaloitwa Palestina hasa baada ya Magaidi wa Hamas kuvamia Israel Oct 07,2023 hapo ndipo kilitokea kifo cha Two State Solution!!
Syria kila uchwao inashambuliwa na israel au unajitoa ufahamuWanatwa vibaraka sababu wamekubali ku normalise mahusiano na Israel kwa ajili ya kupata matrilion ya USA. Jordan, Egypt wanapewa mabilioni ya dollar kila mwaka kwa ajili tu ya kuendelea kuwa na amani na Israel. Huo sio ukibaraka?
Na ukitaka kuamini ni vibaraka, nimekwambia Syria inaongozwa na Al Qaeda na gaidi top 10 kwenye list ya CIA ila mbona hakamatwi mpaka leo?? Sababu ni kibaraka wa USA, ila akisema tu FREE PALESTINE basi madhambi yake yote yatakumbukwa na atakamatwa.
Umeamia kwenye wingi tena mfano huo wingi wa wapalestina unawasaidia niniWe hujitambui, kwahiyo ikiwa one state solution unajua kuna wapalestina wangapi Hapo Israel, Lebanon, Syria na Jordan hao wote wakiwa raia wa Israel unategemea hawatomezwa? Wayahudi wanazaliana wachache kuliko wapalestina so hata ikiwa one state baada ya miaka 50 mbele itakua palestina ni wengi kuliko wayahudi na hapo hata mapinduzi yakifanyika yanatiki.
Mtu anayeshabikia one state sijui huwa anawaza nini?
Sijaelewa hoja yako, hata Rumi imewahi tawala hapo je irudi kudai nchi yao? Unajua kabla ya Israel kuja kulikua na wafalme wengine wa Jerusalem? Je na wao na vizazi vyao warudi kudai eneo lao?Wayahudi walikuwa sehemu ya wapalestina ni tofauti na wazungu wa south afrika