Dennis Robert Shughuru
JF-Expert Member
- May 30, 2024
- 5,559
- 8,747
- Thread starter
- #161
Ila nimekuja gundua napoteza mda na hio habari ni ya 2014 hukoWewe umesema uturuki ndio walimuweka Al qaeda madarakani kitu ambacho ni uongo.
Kuhusu Israel kusaidi waasi wa syria mbona iko wazi. Tukuamini wewe wa kimara bonyokwa au media ya israel inayo cite credible media kma Wall Street journal na Washington Post
View attachment 3677534
Iran amekuwa akissuport vikundi vya waasi kama hamas na hizbullah kuishambulia israel ni sawa ila israel akifanya ni kosa ila akili za watetezi warabu mnashida sana