Mkuu unajua wewe ndiyo unafanya watu wanabadili majina wanaogopa kubattle na weweKwangu Mimi makebo ni kipaombele,
pia nayapenda maanabelle,
wenye makeboless tupa kule,
nachotaka langu dushelele,
liingie makeboni milele.
Mda wa kusikiliza makelele ya mke au kubishana na mwanamke unatoa wapi mkuu ?Kuna ile umetoka kzn na stress mishe zimebuma halafu unarudi hm mke kanuna / kelele nyingi . Hapo ndo utajua umuhimu wa kuangalia tabia kuliko Nyash. Unakuwa na battle nyengine nyumbani
Hii ni kwa wale wanawake wa uswazi. Huko uswazi wanawake wenye makalio makubwa hudhani ni raslimali ya kuchuma mali na ufunguo wa kupendwa. Haya mambo wamelishwa tangu wakiwa wadogo. Na wanaume nao wamelishwa ujinga kuwa kulala na mwanamke mwenye makalio makubwa ni kutosheka zaidi. Mimi niliwahi kumiliki mwanamke wa aina hiyo na nilijionea mengi. Wengi wana akili ndogo sana na rahisi kudanganywa.Ukimiliki demu mwenye NYASH la kwenda ni kama kumiliki shamba la miwa pembeni ya shule ya Kayumba
Hawajaona hilo tatizo ndio maana wanataka ushauri humu wakati hii mambo inaanzia katika makuzi ya majumbani huko kwanza wakue katika misingi ya Imani ya dini yeyote ile harafu ndio waanze harakati zao..Na hili ni tatizo kubwa sana! Sijui kwanini wanalifumbia macho..
Mkuu, Mimi JF nzima Sina ugomvi na mtu. Mimi ni mtu wa matani na nina utu.Mkuu unajua wewe ndiyo unafanya watu wanabadili majina wanaogopa kubattle na wewe
Wana Mzigo mkubwa ila akili kisodaHii ni kwa wale wanawake wa uswazi. Huko uswazi wanawake wenye makalio makubwa hudhani ni raslimali ya kuchuma mali na ufunguo wa kupendwa. Haya mambo wamelishwa tangu wakiwa wadogo. Na wanaume nao wamelishwa ujinga kuwa kulala na mwanamke mwenye makalio makubwa ni kutosheka zaidi. Mimi niliwahi kumiliki mwanamke wa aina hiyo na nilijionea mengi. Wengi wana akili ndogo sana na rahisi kudanganywa.
Naqubali mkuuMkuu, Mimi JF nzima Sina ugomvi na mtu. Mimi ni mtu wa matani na nina utu.
Wewe huwa haulali na mkeoMda wa kusikiliza makelele ya mke au kubishana na mwanamke unatoa wapi mkuu ?
Uso mzuri ila mwili umekomaa kama nyundo
Kwamba hakuna wenye tako afu wana tabia njema?Kuna ile umetoka kzn na stress mishe zimebuma halafu unarudi hm mke kanuna / kelele nyingi . Hapo ndo utajua umuhimu wa kuangalia tabia kuliko Nyash. Unakuwa na battle nyengine nyumbani
Tako n muhimu, mwanamke akiwa hana tako huyo n jangili
Mkuu sii tunaagalia yaliyomo ✊Uso mzuri ila mwili umekomaa kama nyundo
Nakazia😅Tako n muhimu, mwanamke akiwa hana tako huyo n jangili
Na huo ufupi, hilo tako limekaa kama jipu, bora angekuwa mrefu kdg.Mkuu sii tunaagalia yaliyomo ✊
Ila sio kubishana na kujibizana. Ukikuta yupo hai kamata piga miti, anafunga kidomo analala na usingiziWewe huwa haulali na mkeo
🔥Naqubali mkuu
Siyo tu jangili, bali pia ni nyoka. Nyoka hana Makebo.Tako n muhimu, mwanamke akiwa hana tako huyo n jangili