Yeah uko sahihi mkuu, pia na maturity inasaidia mno kupambanua mambo! kijana mdogo tabia haiwezi kuwa kipaumbele chake!Mimi niliwahi kupanga Boocap cape town wakati nafanya kazi docks muda mwingi nilikua nashinda club za Long street saa nane usiku narudi home hiyo ni ratiba yangu nabadilisha club kufata pisi tu nilipoamua kuja Tanzania kuoa mtu niliekua nae kwa muda mrefu nilimwambia mimi Club za usiku basi maana alikua anashangaa akipiga mara nipo Club akajua huyu mzala maisha gani haya mpaka kesho nikienda club labda tuna vikao na jamaa tuliopiga nao Chuo au kazi na si kushinda huko bills ndio kama home ila mtu ukikutana nae leo ukimwambia hivyo vitu vina umri wake sio upo na ndoa na watoto unakesha bar huo ni ushamba atakushangaa wewe..
Ukiwa na ndoa jaribu kuiweka karibu na kanisa au msikiti hata watoto watakua katika mazingira ya hofu unaona hata humu vijana wanavyojibu tu unaona wamekosa mafunzo kutoka kwa wazazi wawili..
kweli kabisa!Wanakuwa hawajafikia upeo wa kuoa au kuolewa
Upo sahihi mkuu wadogo hawana hofu ya Mungu kabisa utawaona wanaenda sehemu za ibada kipindi wanataka kuoa au kuolewa baada ya hapo vita wanahamishia ndani watu hawana hata mtoto ila vita imekomaa kama wamekaa miaka kumi..Yeah uko sahihi mkuu, pia na maturity inasaidia mno kupambanua mambo! kijana mdogo tabia haiwezi kuwa kipaumbele chake!
π€£π€£π€£, mambo ya vijana hayo umri wa balehe!!ππ Matako makubwa hajawahi acha mtu salama
Halafu huwezi amini ni mambo ya kijinga jinga tu!Upo sahihi mkuu wadogo hawana hofu ya Mungu kabisa utawaona wanaenda sehemu za ibada kipindi wanataka kuoa au kuolewa baada ya hapo vita wanahamishia ndani watu hawana hata mtoto ila vita imekomaa kama wamekaa miaka kumi..
Halafu Kuna watu wanasema hawajui Raha yake? Kweli
Kama ipi?
Icheki hapa Seran
Ndoa inahusisha watu wawili wewe mshukuru mungu wakati wewe unastaafu na huyo mkeo aliamua hivyoMimi niliwahi kupanga Boocap cape town wakati nafanya kazi docks muda mwingi nilikua nashinda club za Long street saa nane usiku narudi home hiyo ni ratiba yangu nabadilisha club kufata pisi tu nilipoamua kuja Tanzania kuoa mtu niliekua nae kwa muda mrefu nilimwambia mimi Club za usiku basi maana alikua anashangaa akipiga mara nipo Club akajua huyu mzala maisha gani haya mpaka kesho nikienda club labda tuna vikao na jamaa tuliopiga nao Chuo au kazi na si kushinda huko bills ndio kama home ila mtu ukikutana nae leo ukimwambia hivyo vitu vina umri wake sio upo na ndoa na watoto unakesha bar huo ni ushamba atakushangaa wewe..
Ukiwa na ndoa jaribu kuiweka karibu na kanisa au msikiti hata watoto watakua katika mazingira ya hofu unaona hata humu vijana wanavyojibu tu unaona wamekosa mafunzo kutoka kwa wazazi wawili..
Mzigo gani sasa hapo we nae, katako kakipumbavuu!!
Battle of ITOMBIKuna ile umetoka kzn na stress mishe zimebuma halafu unarudi hm mke kanuna / kelele nyingi.
Hapo ndo utajua umuhimu wa kuangalia tabia kuliko Nyash.
Unakuwa na battle nyengine nyumbani
Ndo type zangu (slim thick) Sasa ulidhan ntapost zigo ka la sanchi π eti SeranMzigo gani sasa hapo we nae, katako kakipumbavuu!!
Hiyo stage unayosema imerukwa kama uliifanya ipasavyo ndio inayoacha makovu yanayofanya ndoa ziwe na vurugu, yaani upitie ujana wa wanawake ipasavyo then usiwe na watoto? Au unywe pombe ujanani ipasavyo lazima itakuachia makovu labda uwe unajaribiSio kweli mmekua katika maisha mabovu sana yasio na malezi bora na pia kipato ndio changamoto kubwa kwenu mnaamini sana katika kipato na pia mliruka baadhi ya stage katika kukua kipindi cha kuruka nyoka mlikua vijijini huko mmekuja mjini baada ya kumaliza vyuo mmekutana na kazi hapo ndio mnafanya vitu mlivyoruka kwenye hatua za ukuaji mtu una familia unakesha bar kutakua na ndoa hapo si utakuja kupigiwa na kuja kulalamika tena humu..
Ianzishwe wizara maalumu ya kushughulikia stress za wafanyakazi zinazotokana na wenza wao majumbani.Kuna ile umetoka kzn na stress mishe zimebuma halafu unarudi hm mke kanuna / kelele nyingi.
Hapo ndo utajua umuhimu wa kuangalia tabia kuliko Nyash.
Unakuwa na battle nyengine nyumbani
π€£ππ π π ni noma !ππ Matako makubwa hajawahi acha mtu salama