Isanga family
JF-Expert Member
- Feb 25, 2015
- 22,981
- 47,826
Akiwa mmoja anapataka kipato cha kuendesha familia zogo wakiwa wote wanafanya kazi pia zogo hata siwaelewi huko kwenye taasisi ya Bank ndio kuna balaa hatari aisee wao kuweza kupata 3m kwa mwezi wanaona ni kitu cha ajabu balaa akirudi home ni kutafuta miguu ya kumpelekea mwenza wake..wengi wanakua wageni na pesa hiki ndio chanzo kikubwa cha wao kushindwa kuvumiliana..Halafu huwezi amini ni mambo ya kijinga jinga tu!
Vijana si mmeanzishiwa wizara yenu, mnashindwa kuitumia ku share maarifa?Na hili ni tatizo kubwa sana! Sijui kwanini wanalifumbia macho..
Upo sahihi mkuu, mimi naona bora mtu awe matured kidogo ndio aweze kuingia ndoani, kunapunguza ulimbukeni na muda mwingi wa kumfikiria mwenzio ujinga ujinga usiokuwepo!Akiwa mmoja anapataka kipato cha kuendesha familia zogo wakiwa wote wanafanya kazi pia zogo hata siwaelewi huko kwenye taasisi ya Bank ndio kuna balaa hatari aisee wao kuweza kupata 3m kwa mwezi wanaona ni kitu cha ajabu balaa akirudi home ni kutafuta miguu ya kumpelekea mwenza wake..wengi wanakua wageni na pesa hiki ndio chanzo kikubwa cha wao kushindwa kuvumiliana..
Wizara ya kufanyanini?Vijana si mmeanzishiwa wizara yenu, mnashindwa kuitumia ku share maarifa?
Utakuaje na watoto hayo mambo hauwezi kufanya kipindi hiki ni tofauti na kipindi cha nyuma mimi nilisema sintao nje ya Tanzania ntazunguka Dunia ila wife ni home maana niliona watu walivyopoteza watoto na ndoa waliofanya hivyo miaka ya nyuma leo hii SA inafukuza wageni ambao wamezaa na Dada zao sasa kujua haya inatakiwa uwe na njaa mwili mzima sio kwamba wapo watu watakuja kukufundisha nimeishi SA Elimu na Kazi lakini niliwekeza Tanzania watu walipata kipato kikubwa hapa wameoa hapa na nyumba wanazo hapa wanaambiwa watoke na hawaruhusiwi kuwa na kitu chochote hapa Mali zao zimetaifishwa maana vibali wame block sasa hii nayo inataka uwe na Elimu gani kujua..Hiyo stage unayosema imerukwa kama uliifanya ipasavyo ndio inayoacha makovu yanayofanya ndoa ziwe na vurugu, yaani upitie ujana wa wanawake ipasavyo then usiwe na watoto? Au unywe pombe ujanani ipasavyo lazima itakuachia makovu labda uwe unajaribi
😇😅 ukienda kama umekatwa kichwa kweli hayajawai acha mtu salama !
Sisi wengine tunaangalia Matako kwanza hizo tabia sio kwamba wenye matako hawana nikuambie tu ukweli au wasio na matako ndio wenye tabia nzuri saaana hapana, wewe tafuta Betina wako ishi nae mwenye mbavu za Mbwa kakondeana mifupa mbavu zinaonekana sisi wengine acha tujitafutie wenye matako tuishi nao sio lazima tufanane kila mtu aishi na kile anachokipenda, halafu next usihusishe tabia ya mtu na matako ya mtu elewa kwamba Tabia sio Matako kwamba kila mtu anayo maana kwa upande wangu wanawake wenye matako makubwa ndio wenye tabia nzuri kuliko wasio na matako nakuambia kwa experience niliyonayo linapokuja suala la 6×6 nikikutana na mwanamke ana mifupa mikavu hana matako hua napata nae taaabu sana yaan ushirikiano sifuri kwanza naona km namuumiza tu na hua sienjoy kabisa shughuli ile sababu nina appetite kubwa ila nikikutana na matako makubwa nyuma kumeachia mkia wa pweza upo napiga kisha napiga tena na sipati kurupushana za unaniumiza sijui mara nimesukumwa nisiingize sana mara ingiza taratibu naumia sio kila mtu anaweza kuendesha Semi nyie wengine endeleeni kuendesha Baiskeli na BodabodaKuna ile umetoka kzn na stress mishe zimebuma halafu unarudi hm mke kanuna / kelele nyingi.
Hapo ndo utajua umuhimu wa kuangalia tabia kuliko Nyash.
Nipo Kanisani. Nitafute jioni.Wizara ya kufanyanini?
Hmm kwani ndio wameongelewa waliosinyaa sasa🙄Sisi wengine tunaangalia Matako kwanza hizo tabia sio kwamba wenye matako hawana nikuambie tu ukweli au wasio na matako ndio wenye tabia nzuri saaana hapana, wewe tafuta Betina wako ishi nae mwenye mbavu za Mbwa kakondeana mifupa mbavu zinaonekana sisi wengine acha tujitafutie wenye matako tuishi nao sio lazima tufanane kila mtu aishi na kile anachokipenda, halafu next usihusishe tabia ya mtu na matako ya mtu elewa kwamba Tabia sio Matako kwamba kila mtu anayo maana kwa upande wangu wanawake wenye matako makubwa ndio wenye tabia nzuri kuliko wasio na matako nakuambia kwa experience niliyonayo linapokuja suala la 6×6 nikikutana na mwanamke ana mifupa mikavu hana matako hua napata nae taaabu sana yaan ushirikiano sifuri kwanza naona km namuumiza tu na hua sienjoy kabisa shughuli ile sababu nina appetite kubwa ila nikikutana na matako makubwa nyuma kumeachia mkia wa pweza upo napiga kisha napiga tena na sipati kurupushana za unaniumiza sijui mara nimesukumwa nisiingize sana mara ingiza taratibu naumia sio kila mtu anaweza kuendesha Semi nyie wengine endeleeni kuendesha Baiskeli na Bodaboda
Kujipa umuhimu 🚮Nipo Kanisani. Nitafute jioni.
Sasa ukikaa usifananishe tabia na matako fananisha tabia na vitu vingine maana hata wasio na matako wapo ambao hawana tabia nzuri yaan nyinyi mmekaa mkaona kwamba wenye matako makubwa ndio wenye tabia mbaya kuliko wale wasio na matako?, ujinga mzigoNanukuu tu kutoka kwenye vitabi vya dini:
Tabia nzuri ndio urembo wa kweli
Lengo la mleta mada ni hilo sio lingine ila akija hapa anaweza kukwepesha km jana alileta mada ya wachawi akasema hii mada sio ya wachawiHmm kwani ndio wameongelewa waliosinyaa sasa🙄
Ngoja nikusimulie kisa kimojaUmeongea point, lakini utawezaje kujua nani ana tabia nzuri Kati ya wanawake walio mbele Yako? Yaani body type za aina zote.
Hee mavimavi yameingiaje tena SeranSema we kwa unavyopenda mavimavi sio mbaya🤢
Sumu ya mapenzi ni maudhi - Khalid Chokoraa.Kuna ile umetoka kzn na stress mishe zimebuma halafu unarudi hm mke kanuna / kelele nyingi.
Hapo ndo utajua umuhimu wa kuangalia tabia kuliko Nyash.
Unakuwa na battle nyengine nyumbani
Aisee hapo umenielewesha deeply.Yaani nimeelewa kwa undani.Sasa Mimi maswali yangu yameisha ,nimetosheka na info yakoNgoja nikusimulie kisa kimoja
Kwanza elewa mimi ni Mwanaume hio ni moja mbili nimeshafanya tafiti zangu binafsi kuhusu mwanamke anaenifaa mimi km mimi nikajijua mimi nafaa kua na mwanamke wa aina gani na mwanamke wa aina gani sifahi kabisa hata kukaa nae meza moja
Kwanza mwanamke ambae hapendi nimuulize kitu chochote huyo sikai nae meza moja mwanamke mbishi sikai nae meza moja mwanamke ambae hana ushirikiano sikai nae meza moja
Sasa tuje kwenye point kuna siku nilizinguana na mchuchu wangu nikasema ngoja niende maeneo fulani kwenye pitapita kuna kadada kakaniita halafu nilikua na hamu ya kupiga kakanipiga maneno kwamba niende nikakabetue halafu kalikua kembamba tu hivi nikakauliza si unauona huu mwili wangu wewe utaniweza mimi? Kakasema kananiweza kananiweza twenda ebwana nilipata tabu siku hio mimi sipendi nifanye na mtu mbishi hana ushirikiano mwisho nikamuuliza kwa hio kule hiki ndicho ulichokua unajigamba unaniweza wakati hauniwezi maana nilikua namuumiza tu yaani km vile nilikua nambaka nikaona huu ujinga nikavaa nikaondoka
Sasa wakati natoka nikakutana na manzi mwengine kwa nje hapo alikua amekaa zake km vile alikua ananisubiria alikua ana matako km yote ile kumtazama tu hivi akaniita kaka njoo tuongee mara moja, kumbuka nimetoka kupalangana na kile kidada kembamba tukashindwana maana haniwezi yaan haana ile performance ninayoitaka mimi sasa huyu mwenye matako makubwa akanilazimisha na yeye anataka nikamle na yeye ana hamu ya kuliwa nikamuuliza unaweza si unauona mwili wangu lakini utaniweza akasema wewe mboni mwili wako na mwili wangu unaendana ebu twende nikakupe uone mwenyewe, oya nilienda kupewa show sio ya dunia hii mixer kubembelezwa na maneno mazuri ya faraja sio kule nilikua nakaripiwa na kupewa maneno mabaya ya ovyo kabisa mpaka unaboreka kudadek unaanza kujiuliza nimekuja kufanya nini hapa na huyu ninaefanya nae mapenzi ni binadamu au ni mnyama?
Umeshanielewa namnaanisha nini ninaposema Tabia sio Matako?
Usinikumbushe mkuu, unanipandishia ashiki.Yanavutia yakiwa ndani yakanga moko mda wote 😂