hii point haikua na haja, kila mtu na starehe yakeHakika sisi ni wajinga
Ukiona huwezi thamini mawazo na mtizamo wa mwenzako tambua wewe ndie tatizo. JK ni Mnazi wa Yanga lkn alikuwa Rais wako. Bakhresa ni tajiri Mkubwa na Mo ni tajiri Mkubwa anayeweza kukuajiri wewe na Mkeo lkn ni Mnazi mkubwa wa timu za Kariakoo.Mtu mzima ukiona anashabikia
Ccm
Simba na Yanga fahamu hayuko sawa kichwani
Watanzania kwakweli aibu hatuna washamba na akili hatunazo nmesikitika mnoNashukuru kama nawe hilo umeliona. Yaani pointless mpaka mtu unaona aibu, lakini haya yote ni kwasababu yakukosa exposure na elimu duni inayowafanya wengi wasiwe na upeo mpana juu ya mambo mbalimbali na uwakilishaji wa jambo mbele ya halaiki.