Ukiangalia tambo za mashabiki wa Simba na Yanga kwenye tv utajua kuwa 89% ya Watanzania hawana akili timamu

Ukiangalia tambo za mashabiki wa Simba na Yanga kwenye tv utajua kuwa 89% ya Watanzania hawana akili timamu

FK21

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2019
Posts
8,600
Reaction score
10,760
Wakuu nimeangalia tambo hapa Azamtv yaani Hadi aibu naona mimi watu wazima wanavyojitoa akili .

Inasikitisha sana huenda ndiyo Sababu CCM wanatutawala

Hakika sisi ni wajinga tunaongea pointless sijawahi ona UK, SPAIN au Germany this kind of Rubbish
 
Nashukuru kama nawe hilo umeliona. Yaani pointless mpaka mtu unaona aibu, lakini haya yote ni kwasababu yakukosa exposure na elimu duni inayowafanya wengi wasiwe na upeo mpana juu ya mambo mbalimbali na uwakilishaji wa jambo mbele ya halaiki.
 
Burudani na vituko ni sehemu ya maisha. Ukiona mtu hafanyi burudani wala vituko kama kucheza mziki, kushabikia michezo na siasa au kuimba huyo vituko vyake vinakuaga vya ajabu sana akiwa mwenyewe. Anaweza jiangalia kwenye kioo akaanza kubishana na kivuli chake kuwa yeye ni mrefu zaidi kuliko aliyepo kwenye kioo.
 
Ule ukichaa wao ndio Raha za wengine waacheni.
Kuna mda kujifanya tuende kisomi na ukweli hatujafika huko ninkujivika sura isiyo yetu.
Tuishi kivyetu vyetu Mana tushapoteza ID nyingi Sana katika soka letu kwa kuiga iga Kila kitu.
 
Mtu mzima ukiona anashabikia
Ccm
Simba na Yanga fahamu hayuko sawa kichwani
Ukiona huwezi thamini mawazo na mtizamo wa mwenzako tambua wewe ndie tatizo. JK ni Mnazi wa Yanga lkn alikuwa Rais wako. Bakhresa ni tajiri Mkubwa na Mo ni tajiri Mkubwa anayeweza kukuajiri wewe na Mkeo lkn ni Mnazi mkubwa wa timu za Kariakoo.
Halafu wewe kikaragosi huna a wale be umejaaaa UTI unaleta ujuajii mwiiiiiingi kumbe pimbi tu. Acha watu wafurahie mioyo yao kile inapenda Mkuu
 
Nashukuru kama nawe hilo umeliona. Yaani pointless mpaka mtu unaona aibu, lakini haya yote ni kwasababu yakukosa exposure na elimu duni inayowafanya wengi wasiwe na upeo mpana juu ya mambo mbalimbali na uwakilishaji wa jambo mbele ya halaiki.
Watanzania kwakweli aibu hatuna washamba na akili hatunazo nmesikitika mno
 
hii point haikua na haja, kila mtu na starehe yake

huenda na wewe ukikutwa kwenye pombe watu watakuita mjinga hivyo hivyo.
Napenda mpira ila nikipewa Mic I can't talk that shit
 
Back
Top Bottom