Walihojiwa wakaongea pumba vile kama mbunge flani wa CCM?Watu wanatukna huko hujui mapenzi ya watu walifungwa wakafanya vuruga kuchoma magari fuatilia brazili alipopigwa 7 na German usiwe unajikuta una akili wakati hata elimu haijakukomboa kujua kingereza sio usomi mshamba mkubwa.
Tena kule wanauana kabisa hajui kitu!Labda kama hufuatilii
Ulaya wanahojiwa na wanaongea mashudu sana. Jaribu kusubiria derby ya uingereza man utd vs Liverpool uone wakihojiwa wanavyoongea. Alafu sio lazima tufanye wanavyofanya ulaya acheni utumwa wa fikra.
Ushabiki hauhitaji usiriazi sana unaondoa ladha. Unaowaona wanaongea pumba nyuma ya pazia ni watu wenye taaluma zao na kazi zao wanaendesha familia zao.
Nasapoti mkuu..Uko sahihi mleta mada..
Sio simba na yanga tu, cheki ushabiki wa muziki, ushabiki katika siasa huko kote watu akili zinawatoka.
Say yesMay be
Eti mbunge fulani wa ccm mbona unasapot mashoga wa chadema hatusemi? Kwani nje ya ubunge ndo asishabikie mpira kama nn unamlimit mtuWalihojiwa wakaongea pumba vile kama mbunge flani wa CCM?
Boss embu fuatilia kwanza ndo uponde watanzania wenzako kwa kuwalinganisha na hao. Wale wanahistoria mpaka za visasi vya kuuana sabb za ushabiki.At least
Kweli ss wajinga na jinsi ulivyoweka picha ya Mandonga nakuona mjinga mwingine full fullWakuu nimeangalia tambo hapa Azamtv yaani Hadi aibu naona mimi watu wazima wanavyojitoa akili .
Inasikitisha sana huenda ndiyo Sababu CCM wanatutawala
Hakika sisi ni wajinga tunaongea pointless sijawahi ona UK, SPAIN au Germany this kind of Rubbish
Mkuu kila kitu kwa kiasi si ushabiki tu. Hata maofisini ukiwa mr YES kuwa kila kitu unachoambiwa na boss wako ni YES unakifanya unakuwa huna tofauti na shabiki anayeshabikia mziki mpaka anaimba imba hovyo.Nasapoti mkuu..
Mimi nimekuwa mshabiki wa mpira toka enzi lakini nigundua ni upuuzi ila basi tunafosi tu .Yaani inatokea mtu hauli ,hauna raha unagombana na mwenzio kisa matokeo ya mpira kitu ambacho hauna control nacho huku wachezaji wakipata marupurupu na mechi ikiisha kufurahi na kupeana mikono wakati mwingine.
Miziki huko upuuzi umejaa mtu anakujaza hisia feki anaimba mambo ambayo hayana uhalisia na upuuzi kibao . Wakati mwingine wanatunafkia mtu anaimba anapesa anateseka kapuku unaona umepata faraja kumbe mwenzako anakula bata la nguvu.
Siasa ndio kabisa sina ushabiki wala sijawahi kupoteza nguvu zangu kupiga kura naona maigizo tu haswa hapa bongo..
Tambo, majigambo, vibweka, vituko, utani, masihara, kucharurana, nk. Ndio raha ya derby bwana. Anataka derby watu waongee kama wapo kwenye malumbano ya hoja!?Tena kule wanauana kabisa hajui kitu!
Umeongea ukweli mtupuNasapoti mkuu..
Mimi nimekuwa mshabiki wa mpira toka enzi lakini nigundua ni upuuzi ila basi tunafosi tu .Yaani inatokea mtu hauli ,hauna raha unagombana na mwenzio kisa matokeo ya mpira kitu ambacho hauna control nacho huku wachezaji wakipata marupurupu na mechi ikiisha kufurahi na kupeana mikono wakati mwingine.
Miziki huko upuuzi umejaa mtu anakujaza hisia feki anaimba mambo ambayo hayana uhalisia na upuuzi kibao . Wakati mwingine wanatunafkia mtu anaimba anapesa anateseka kapuku unaona umepata faraja kumbe mwenzako anakula bata la nguvu.
Siasa ndio kabisa sina ushabiki wala sijawahi kupoteza nguvu zangu kupiga kura naona maigizo tu haswa hapa bongo..
Umezungumzia Asilimia 89 ungesema baadhi ya washabiki hoja yako ingekuwa na mashikoNapenda sana mpira ila kuona mtu mzima akikosa aibu na kuongea pumba nahuzunika mno
Bila shaka wewe ulikuwa shabiki wa man utd na ushabiki wako ulikuwa umepitiliza. Baada ya kuona timu inekwenda mrama ukaona uachane na mpira [emoji1787]Nasapoti mkuu..