Ukianza kufikiria ma-ex ambao mwenza wako ametembea nao, inaweza kuua ndoa yako

haxlley

Member
Joined
Sep 11, 2024
Posts
25
Reaction score
25
Ukimuoa mwanamke mwenye umri wa miaka 27 hadi 30, na ukichukulia kuwa alianza mahusiano ya kimapenzi akiwa na miaka 18, kisha akawa na wastani wa wapenzi watatu kila mwaka, hesabu zinaweza kuonesha kuwa amewahi kuwa na mahusiano na watu kadhaa kabla ya ndoa.

Kwa mfano, ndani ya kipindi hicho cha takribani miaka 10, idadi ya wapenzi inaweza kufikia zaidi ya watu 30.

Hali hii inaibua mjadala kuhusu umuhimu wa kuelewana, kuheshimiana na kuzingatia maisha ya mtu ya sasa badala ya kuhukumu yaliyopita pekee.
 
Halafu hao wote hawakulipa mahari na wanaenda kupewa wakati wewe unadaiwa mahari.
 
Ukimuoa mwanamke mwenye umri wa miaka 27 hadi 30, na ukichukulia kuwa alianza mahusiano ya kimapenzi akiwa na miaka 18, kisha akawa na wastani wa wapenzi watatu kila mwaka, hesabu zinaweza kuonesha kuwa amewahi kuwa na mahusiano na watu kadhaa kabla ya ndoa.

Kwa mfano, ndani ya kipindi hicho cha takribani miaka 10, idadi ya wapenzi inaweza kufikia zaidi ya watu 30.

Hali hii inaibua mjadala kuhusu umuhimu wa kuelewana, kuheshimiana na kuzingatia maisha ya mtu ya sasa badala ya kuhukumu yaliyopita pekee.
Sema 30 ni wengi sana mwanangu, kuna kipindi cha kukaa single na mausiano yanayozudi hadi 5 years mengine, so atleast 5-7
 
Bro labda kama ni wanawake wa Kijijini huko.

Ila wa hapa Dar. Kwa mwaka wastan wanabadilisha Wanaume 7 .
Miaka 10 ni wanaume 70.

kati ya hao wanaume 70 kuna 10 ambao ameachana nao kiustarabu. Na kuna 10 wengne wana vijisenti.
Kwahiyo wataendelea kumgonga tu 😊😊😊😊.

Mpambano ni mgumu sana.
 
Kwahiyo hao wanwake hawanaga maisha mengine nje ya mahusiano? Kazi yao ni kubadilisha tu wanaume?
 
alianza mahusiano ya kimapenzi akiwa na miaka 18, kisha akawa na wastani wa wapenzi watatu kila mwaka, hesabu zinaweza kuonesha kuwa amewahi kuwa na mahusiano na watu kadhaa kabla ya ndoa.

Kama wewe sio malaya huwezi kuwa na wapenzi watatu ndani ya mwaka mmoja
 
Ila wanawake wa siku hizi wanavurugwa jamani,nawaza tu...
 
Sema 30 ni wengi sana mwanangu, kuna kipindi cha kukaa single na mausiano yanayozudi hadi 5 years mengine, so atleast 5-7
Mkuu hawa viumbe unawajua vizuri? Awe loyal 5 years😂😂😂
 
Back
Top Bottom