Ukiataka mafanikio Jifunze Kumshirikisha Mkeo Mambo yako ya Msingi(malengo yako)

Ukiataka mafanikio Jifunze Kumshirikisha Mkeo Mambo yako ya Msingi(malengo yako)

Hapo unatakiwa useme hivi mwanamke wangu ukimshirikisha from scratch ni rahisi kunikatisha Moyo
Ni asili ya hivi viumbe sijaandika kumfurahisha mtu bali ndivyo walivyo/mlivyo(kama ni jinsia yako),ninao rafiki zangu walifelishwa kwa kuwasikiliza wake zao.
 
Mimi mke wangu simpuuzi ila huwa namshirikisha jambo likiwa ktk hatua ya pili kwamba tayari lipo kwenye utekelezaji,kama ni kununua nimeshanunua kama ni kuazisha project ataikuta tayari ina-run yaani kwangu muhimu ajue kitu fulani kipo na kinaendelea.

Mwanamke akishirikishwa kitu from scratch ni rahisi sana kuanza kukukatisha tamaa ndiyo maana wengi huwa tunakwepa.
They ain't risk takers
 
ahaa kumbe mshazeeka nilidhani wewe nikijana kama mimi nikucheke kwanza

kwaumri wako nisawa kufanya hivyo
nilianza nikiwa kijana shuhuda za wazee wengi waliokuwa wanafanya mambo yao wenyewe wengi walifariki ndugu wakiwa hawajuai hata kama ana mali, wengine mali zao zikachukuliwa na ndugu watoto wakateseka na kwenda kutumikia ndugu zao kumbe mali zilikuwa za baba yao, wengine waliishia kubaya tu kwa michepuko kumbe wangewashirikisha wkae zao wangepata baarka nyingine nzuri
 
Back
Top Bottom