Mimi mke wangu simpuuzi ila huwa namshirikisha jambo likiwa ktk hatua ya pili kwamba tayari lipo kwenye utekelezaji,kama ni kununua nimeshanunua kama ni kuazisha project ataikuta tayari ina-run yaani kwangu muhimu ajue kitu fulani kipo na kinaendelea.
Mwanamke akishirikishwa kitu from scratch ni rahisi sana kuanza kukukatisha tamaa ndiyo maana wengi huwa tunakwepa.