Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Point tupuKwani kazi ya Raisi ni kuulizwa tu Maswali? acheni uzwazwa... Mwambieni atekeleze tu Majukumu yake ipasavyo na asimamie haki ikiwemo ya Masheikh wa Uhamisho... na aunde tume ya kuchunguza watu walipotea au kupotelewa na ndugu zao bila kufahamika
Huyu ndio nani tena mkuu? Mama anamjua?mzee wa kuropoka hovyo
Yupo Ubelgiji kakaa ndani analishwa.Huyu ndio nani tena mkuu? Mama anamjua?
Hahahaaaa sawa mkuu nimeshamjuaYupo Ubelgiji kakaa ndani analishwa.
you nailed it 😜Mkuu, bila shaka unamaanisha Halima Mdee, Esther Bulaya, Esther Matiko, Nusrat Hanje pamoja na wenzao.
Mkuu, rudisha ile avatar yako ya "Charlie Chaplin" achana na huyo babu bhanaKwa nini alisema Katiba mpya tusubiri kwanza
Kwanini haachani tu na mradi wa Daraja la kigongo -Busisi la kilomita 3.5Utamuuliza swali gani mama yetu?
Utamuuliza swali gani la msingi?Kwakweli nitamwambia
Okay mkuuKwanini haachani tu na mradi wa Daraja la kigongo -Busisi la kilomita 3.5
akajenga la kwake la Bagamoyo - Unguja kilomita 35 tena kutokana na mradiwa Bandari ya Bagamoyo, tunatakakwenda Zanzibar kwa baiskel au bajaj. Hii itamuwekea sifa sana
Mm ningemuuliza wale watumishi hewa kama kweli walikuwa hewa kwann basi wasipewe hata zile contributions zao katika mifuko ya jamii???? Huoni kama kufanya hivyo ni kuaadhibu mara mbili? Je kwann taratibu za kiutumishi hazijafuatwa katika kuwafukuza hazikufuatwa kama barua ya katibu mkuu utumishi ilivyoagiza.???Sioni kama kuna swali lolote la maana anaweza kulijibu sasa, sana sana baada ya siku 100 wangalau anaweza kuulizwa swali la maana. Hii mada yako ni nzuri, ila imewahi sana maana yuko kwenye hatua za awali za kuishape serikali yake.
Mm ningemuuliza wale watumishi hewa kama kweli walikuwa hewa kwann basi wasipewe hata zile contributions zao katika mifuko ya jamii???? Huoni kama kufanya hivyo ni kuaadhibu mara mbili? Je kwann taratibu za kiutumishi hazijafuatwa katika kuwafukuza hazikufuatwa kama barua ya katibu mkuu utumishi ilivyoagiza.???
Pia kama katiba iantambua mbunge kupitia chama je inakuaje wapo wabunge bungeni ambao hawana nyama? Wale 19?
Na pia hivi lile genge' lililompangia ziara ya tanga wakati magufuli yu mahututi (au alishakufa?) lilikuawa na lengo gani?1. Tarehe ipi Jiwe lilikufa (Ya Ukweli)? 2. Wakati Jiwe anakata roho alikuwa anaweweseka maneno gani?
Utamuuliza swali gani la msingi?Mimi nitamshauri
Atajibu tu, swali muhimu ni kuhusu katiba mpya.Sioni kama kuna swali lolote la maana anaweza kulijibu sasa, sana sana baada ya siku 100 wangalau anaweza kuulizwa swali la maana. Hii mada yako ni nzuri, ila imewahi sana maana yuko kwenye hatua za awali za kuishape serikali yake.