Me ntamuuliza..asubuhi anakunywaga chai ama.maziwa au uji !?
Kisha ntamuuliza na lunch yake ipoje, pamoja na dina .
Pia ntamuuliza Kama anakulaga ugali na maziwa au maharage au mboga za.majani haswa mchicha na tembele,
Pia nitamswalika.kuhusu Kama anajua kupika chapati za maji na za kusukuma..au kusonga ugali.
Lakni pia nitamuuliza Kama anaweza kudeki kwa tambala la deki lili chafuchafu .
Mwisho nitamuuliza alikutana wapi na mumewe yule ,..je alimkubali hapo hapo au alimzungusha zungusha kama.wadada wengine wanavyozungusha zungusha watu..nitataka kujua Kama alishwahi kumchuna kwanzA.kabla hajamsambazia upendo ..nk