Ukibahatika kukutana na Rais Samia utamuuliza swali gani la msingi?

Nitamuuliza mtangulizi wake anaendeleaje huko aliko? Na ikiwezekana anifikishie salamu zangu kwake na amwambie huku tunachapa kazi
 
Anachokifanya Tundu Lissu kwa sasa ni kutafuta umaarufu kwa ajili ya 2025. samia mama lao.
 
Watanzania wanampenda huyu Rais Samia haijwahi kutokea Hebu angalia Elimu bure Zahanati kila kona ya Nchi.
Wakati wa kipindi cha uchaguzi mwaka jana 2020, siku tatu Rais Samia alikuwa amepumzika nyumbani kwa maana alikuwa na uhakika wa ushindi kwa zaidi ya 95%.
 
Wakati wa kipindi cha uchaguzi mwaka jana 2020, siku tatu Rais Samia alikuwa amepumzika nyumbani kwa maana alikuwa na uhakika wa ushindi kwa zaidi ya 95%.
CCM Wengi ni waadilifu kama Rais Samia. Huyu mama Samia anapaswa kuwa role model ya wanawake wachapakazi hapa Tanzania.
 
CCM Wengi ni waadilifu kama Rais Samia. Huyu mama Samia anapaswa kuwa role model ya wanawake wachapakazi hapa Tanzania.
Waambie hao Chadema kuwa siasa za kihuni zimepitwa na muda na sasa wamuombe msamaha mama yetu Rais Samia.
 
Waambie hao Chadema kuwa siasa za kihuni zimepitwa na muda na sasa wamuombe msamaha mama yetu Rais Samia.
Ambaye angemsumbua Rais Samia kwenye Uchaguzi wa mwaka jana 2020 labda yule mama Merkel wa ujerumani tu.
 
Wameampa sh ngapi kuanza kutuaminisha upuuzi wa corona ambao tulishausahau

Na hiyo pesa kafanyia nini kwa maendekeo yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…