Ukibahatika kukutana na Rais Samia utamuuliza swali gani la msingi?

Ukibahatika kukutana na Rais Samia utamuuliza swali gani la msingi?

Ni lini Serikali itafadhili elimu ya juu bure kama ambavyo wazee wetu walivyoipata enzi ya Mzee Nyerere na Mzee Karume tena nje ya nchi?
Ni lini Serikali itaifanya sekta binafsi kuwa ni sehemu ya Serikali kwa kuboresha mazingira rafiki ya ukuaji wake ikiwezekana kuzipatia ruzuku /dhamana katika utekelezaji wa miradi mikubwa ya maendeleo ndani na nje ya nchi.? (kama ambavyo China inazipatia kampuni zake Duniani kote)
Ni lini Serikali itaanda /kujenga makazi ya Wananchi nchi nzima ili kukabiliana na
1.uvamizi holela wa maeneo yasiyo ya makazi.
2.Kuvuruga utaratibu wa mipango miji na makazi.
nk
 
Back
Top Bottom