Ukibahatika kula kuku kwa mrija acha mdomo sana. Kuwa humble na utulie uenjoy maisha

Ukibahatika kula kuku kwa mrija acha mdomo sana. Kuwa humble na utulie uenjoy maisha

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
11,191
Reaction score
35,870
Unakuta una taarab nyingi utafikiri umeshafika mwisho wa safari.

Ofcourse atukufundishi namna ya kuishi na hayo mafanikio yako ila kumbuka kushuka chini ni kwa kasi sana zaidi ya ulivyokuwa una panda juu.
 
Haaaaa
Usiwapangie watu bwana,yaani uwe na pesa then uigize hauna?

Kasema nani, lazima ushine,
Udrive ndinga kali,
Totoz kali,
Unyamwezi kidogo,

Ikiwezekana ringa,tamba ,
Hata kama Una 50+ unaonekana Young
 
Back
Top Bottom