Ukibahatika kuoa mwanamke anayekujali, mshukuru sana Mungu

Chief ushasema anayekupenda .
Ukweli ukimpata mwanamke anayekupenda zaidi yeye utafurahia na moyo wako
Mwenyewe baada ya kuachwa na mke wa zamani nilitaka nimuoe atakaye nipenda zaidi yeye Sasa ubaya nikiamua nioe wa aina hiyo nakuhakikishia tukikutana siwezi kukutambulisha kuwa ni shemeji yako .

Note :mwanaume ukiwa na muonekano mzuri aghalabu kumpata mwanamke mzuri wengi wanakuwa wabaya alafu ndiyo wanakufa wanaoza kwako .

Mungu endelea kunipigania ,dhambi ya wake za watu imetosha na kutishiwa maisha
 
Of course Mimi ni handsome man na mwonekano wa kuvutia...yaan Mimi ni S.I unit ya mwanaume gentleman.

Kuna mama mmoja mtu mzima huwa anatania kua Mimi ni gentleman na handsome kumzidi mke wangu that's True 😊 Ila mke wangu ni WA kawaida sanaaa

Very True penda anae kupenda it's naked Truth uta enjoy SANAAA
 
Shida ni kuwa ni mabonyanya naaona hata aibu kuyatambulisha kwa Wana
 
Ukioa mwanamke anayekupenda utaiona Paradiso ndogo hapahapa duniani, kinyume chake ni Jehanamu ndogo. Hongera mkuu , nawe mpende na kumuheshimu mwenzio
 
Hongera mwamba mwenzangu! Tupo sana tu! Mwanzoni nilikuwa na mapuuza fulani hivi lakini nimekuja kuwaona wenzangu na mimi wanavyokiona cha mtema kuni nikajisemea hakika sitarudia tena. Sasa nimeamua kumpa upendo kama ule alioutoa Kristo kwa Kanisa! Sina sababu ya kumpuuza kwa kweli!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…