Ukibahatika kuoa mwanamke anayekujali, mshukuru sana Mungu

Ukibahatika kuoa mwanamke anayekujali, mshukuru sana Mungu

Hongera mwamba mwenzangu! Tupo sana tu! Mwanzoni nilikuwa na mapuuza fulani hivi lakini nimekuja kuwaona wenzangu na mimi wanavyokiona cha mtema kuni nikajisemea hakika sitarudia tena. Sasa nimeamua kumpa upendo kama ule alioutoa Kristo kwa Kanisa! Sina sababu ya kumpuuza kwa kweli!
Sikiliza hiyo
 

Attachments

  • VID-20241117-WA0007.mp4
    4.9 MB
Hapa nimepiga t-shirt 👕 Kali na boksa mpya na Cadette moja matata hizi nguo Jana nights nimekuta wife kaninunulia..

Of course Mimi nilioa mtu anae nipenda Sanaa najua tunafika anniversary nyingi sanaa mungu amtunze huyu mwanamama mama mtoto wangu.

Binafsi nimepata mke anae jua nafasi yake kwenye hii familia yetu.
Badoda ukifika utarudi hapa yaani hata nguo anayolununulia Leo kwa mapenzi kesho ndo ataigeuza fimbo ya kukuchapia mihimu panga draf Yako vizuri
 
Badoda ukifika utarudi hapa yaani hata nguo anayolununulia Leo kwa mapenzi kesho ndo ataigeuza fimbo ya kukuchapia mihimu panga draf Yako vizuri
Jidanganye tuna anniversary ya 10 na ushee..

Hatujajuana barabarani mzee..mbali ya kutoka ethnic group moja tumejuana tangu tukiwa secondary o_level japo nilikua vidato mbele yake hatukuwai kua marafiki before tukakutana baadae.

God Fearing women..wote tumeokoka..tumetengeneza familia yetu... HATUJA chukuana..tuna ndoa ya ki kristo..kifo ndio kitatutenganisha.

Familia zetu pia ni reference kua watu wanaweza kuishi na kua na strong family licha ya changamoto nyingi za hapa na pale..

Kuna mengi mkuu siwezi andika yotee
All in all,
Mungu ni mwema WAKATI wote wakati WOTE Mungu ni mwema.
 
Back
Top Bottom