Ukibahatika kuoa mwanamke anayekujali, mshukuru sana Mungu

Wanawake wengi wema na wenye maadili walikuwa enzi za zama la agano la kale. Sasahivi mwanaume akiowa anakuwa amechukua mshindani na siyo msaidizi au mlezi wa Familia.
 
mbna uyu unaemsema mi daily ananiletea umbea amani kati yenu hakuna na always hutamani sana ninapokutana nae japo hua for a short period of time dah
 
Pika, oga , fua, ingiza mizigo yako ndani mwenyewe, hutakatika mikono,, achana na hawa wadudu wanaoitwa wanawake, wasikupe pressure. Hawana la zaidi ya kitandani, ambalo zipo zinauzwa mtaani ukitaka. Ila kama una hofu ya MUNGU piga kimya, Cheka na watoto inatosha.
 
Nafurahi kuona kuna mtu mwengine ametumia akili zake vyema kujua kwamba ili kuwa na amani kwenye maisha unapaswa kuwa na mke akupendaye zaidi na anayekuhitaji kuliko wewe unavyomuhitaji πŸ˜‚. Thats the only trick and not the other way round! Hongera sana mzee.
 
Mwanamke atakujali ukiwa na PESA NA SI VINGINEVYO
Ofcourse pesa ni muhimu kuwa nazo ila upendo ndio namba 1. Kama hujawahi kupendwa utaona mazonge tu ila ndio ukweli.

Unaweza usiwe na pesa at times atalalamika kidogo ila haendi kokote😁 ila mwanamke kama hakupendi as long as alikuja kwako kwa sababu ya butter lifestyle utahesabia maumivu tu.

She will easily find the quickest route to end that relationship.
 
Siamini katika upendo.
Hao walikuwa zamani.
 
Ni kweli kabisa mwenza akiwa ana show love hutakiwi kupuuzia..
Ni kufanya reciprocal 😊
Pamoja mkuu.
 
Vice versa yake unaweza ukampenda mwanamke na ukampa kila kitu maishani still asiweze japo ku appreciate au hata ku recognize...very true ukipata mtu anae kupenda kila kitu kita flow chenyewe..
 
Hivi mwanamke unamuacha lakini bado kinganganizi na ni chombo kinoma ambaye akiamua in few weeks tu anakuwa na mwanaume mwingine wa maana hata zaidi yako..hapo unakuwa umekupenda kweli??..chambichambi za hapa na pale unampa za kufanya maisha yawe smooth kwake..

Extrovert mtazamo wako hapa.
 
Huyo bado kidogo tu.atakuonesha rangi zake
Uongo mwamba! Karibia tunazeeshana sasa! Kama wa kuonesha rangi ingekuwa ilishatokea siku nyingi! Vijana ndiyo cha moto mnakiona, havichelewi kuwapiga viberiti mkileta za kuletwa!
 
Unapo taka kuoa zingatia ethics & Values za mtu kwa sababu hua hazirekebishiki wala hazifundishiki.

Kama mwanamke anaona its owkey, Kuingiliwa kwa mpalange, jua her ethics and values zipo chini, Ukimuoa itakua n matukio baada ya matutkio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…