Sikiliza hiyoHongera mwamba mwenzangu! Tupo sana tu! Mwanzoni nilikuwa na mapuuza fulani hivi lakini nimekuja kuwaona wenzangu na mimi wanavyokiona cha mtema kuni nikajisemea hakika sitarudia tena. Sasa nimeamua kumpa upendo kama ule alioutoa Kristo kwa Kanisa! Sina sababu ya kumpuuza kwa kweli!
Badoda ukifika utarudi hapa yaani hata nguo anayolununulia Leo kwa mapenzi kesho ndo ataigeuza fimbo ya kukuchapia mihimu panga draf Yako vizuriHapa nimepiga t-shirt 👕 Kali na boksa mpya na Cadette moja matata hizi nguo Jana nights nimekuta wife kaninunulia..
Of course Mimi nilioa mtu anae nipenda Sanaa najua tunafika anniversary nyingi sanaa mungu amtunze huyu mwanamama mama mtoto wangu.
Binafsi nimepata mke anae jua nafasi yake kwenye hii familia yetu.
Jidanganye tuna anniversary ya 10 na ushee..Badoda ukifika utarudi hapa yaani hata nguo anayolununulia Leo kwa mapenzi kesho ndo ataigeuza fimbo ya kukuchapia mihimu panga draf Yako vizuri
Ntaisikiliza kesho.Sikiliza hiyo
Iko sawa tu ndiyo ni hivyo mkuu, maana mimi ndiye nilikuwa kama nampuuza wakati yeye ananipenda kuliko!Sikiliza hiyo