Sifi Leo
Platinum Member
- Mar 30, 2012
- 6,408
- 12,100
Ukiona umeajili mfanyakazi anaamka saa kumi na mbili anaoga maji baridi , linanyoosha nguo, linabrashi viatu, anapiga mswaki, lakini anasaau kujisaidia haja kubwa anakuja kujisaidia ofisini jua ilo litumishi akili halina fukuzia mbali.
Yaani ulilipe mshahara, saa nyingine ulipe ofa ya chakula Bado linabanwa na haja kubwa linajisaidia ofisini
Ilo lifukuzeeee.
Mfanyakazi anae kuja kwako ofsn ni yule anae acha mizigo nyumbani.
Yaani ulilipe mshahara, saa nyingine ulipe ofa ya chakula Bado linabanwa na haja kubwa linajisaidia ofisini
Ilo lifukuzeeee.
Mfanyakazi anae kuja kwako ofsn ni yule anae acha mizigo nyumbani.