Nakfa
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 12,104
- 16,477
Wakiume wewe au senge?Ila kiukwel mi kama sio haja ndogo siwezi kujisaidia vyoo vya ofisini. Aibuu aisee. Bora nitoke nje hukoo vyoo za kulipia
Wakiume wewe au senge?Ila kiukwel mi kama sio haja ndogo siwezi kujisaidia vyoo vya ofisini. Aibuu aisee. Bora nitoke nje hukoo vyoo za kulipia
Chagua jibu unaloona linakufaaWakiume wewe au senge?
Ni senge!Wakiume wewe au senge?
🤔Mi pia mtu asie na ratiba maalumu ya kujisaidua haja kubwa hua namchukia. Enzi za naanza mahusiano kuna dada nilimuacha maana ilikuwa kila tukikutana lodge ndo anajisaidia haja kubwa. Ile kitu ilinikwaza nikaja kumpotezea
Bahati mbaya nilipokua nimeacha zipu wazi akaniambia.....
Yeye: Kaka, samahani haujafunga geti la gereji yako
Mimi: Ohhhh asante sana mwali, najua haujaiona Toyota V8 kwa ndani...🤭
Yeye: Hapana kaka, nimeiona Toyota IST....
Mimi: Hauna adabu kabisa bladi hell Gad'dem it....🫤
Ofisini tena kha!
Hufi leoYa nyoko unadhania ni kalio kila mtu anakuwa?!
Mna vyoo vichafu?Ila kiukwel mi kama sio haja ndogo siwezi kujisaidia vyoo vya ofisini. Aibuu aisee. Bora nitoke nje hukoo vyoo za kulipia
Hapana, alisema eti kwanza ameiona ina two flat wheels..🙄😃
Na hiyo IST imewasha taa ya mafuta...
Hapana nazungumzia back in days nafanya kazi kwenye ofisi za watuMna vyoo vichafu?
Hii comment nimeandika nikiwa chooni.