Ukichelewa kuoa hadi miaka 40 utapata shida kumpata mwanamke utayendana naye

Umewahi kujiuliza ni kwa nini hao mabinti wapo tu wenyewe?
Jibu rahisi sana wanawake ni wengi kuliko wanaume kifupi tunaweza kuoa wanawake watatu na tusiwamalize.

Kama tuna pool kubwa hivyo ya wanawake unafikiri wanawake bora hawapo?
 
Kama unatumia kigezo cha umri pekee kuoa ujue wewe unatumia akili yako kwa kama 25% hivyo jitafakari!

Watu wa kuoa na kuolewa wapo umri wowote na rika zote. Wapo wadada wazuri tu at 35yrs bado wapo single na Kumbuka kujiuza ni tabia ya mtu na sio tabia ya jumla.

Usitumie lugha ya ukakasi kwa mambo usiyokuwa na elimu nayo!
 
Tunatishana Sana Ndugu Zangu

Kuna watu wanafikiri priorities zao ni priorities za watu wote

Unakuta mtu anakuuliza umejenga? Umeoa? Umeolewa?

Kila mtu ana kazi zake na karama zake alizojaliwa na mwenyezi Mungu, tutafute mipango ya Mungu kwenye maisha yetu kupitia karama na vipawa tulivyojaliwa nae. Kuoa, kuolewa, kujenga na mengineyo mengi sio kwa kila mtu jamani

Hata katika vitabu vya Mungu kuna ambao hawakuwahi kuoa wala kuolewa, wapo ambao hawajajenga nyumba zao za kuishi, wapo ambao hawazai na hawajajaliwa uzao ila wamefanya mengi kwa dunia hii kadri ya vipawa na karama zao

 
Katika jambo unatakiwa kuwahi kama Mungu amekupa neema basi mwanaume ni kuoa, mi nlichelewa kidoogo japo sio sana ila nnatamani sahii ningekua nnasomesha japo form one, kuna raha sana kulea wanao ukiwa kijana, sasa endeleeni kujidanganya maisha yanaanza na 40, kuna majukum ni kuyabeba ukiwa na nguvu zako
 
Mhhhh!!!,Mkuu Naona umemind kinoma [emoji41]
 
Ivi kuna mwanamke katika hii dunia ya leo yupo tiyali afikishe miaka 35 akiwa yupo single eti akae asubili mwanaume mwenye umri wa miaka 40

Wakati umri wa mwanamke kuanzia age of 28 hadi 33 ndio umri mwanamke anapambana apate ndoa au mtoto kama ndoa imeshindikana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…