Kiti Chema
JF-Expert Member
- Oct 18, 2017
- 1,793
- 1,961
Nimekuelewa sana point yako, hapondipo nagundua kila niliyekuwa namchumbia hakuwa mtu sahihi kwangu ndio maana nazidi kushuka kimaendeleoKuoa au kuolewa ni jambo linalozingatia mambo mengi sana na sio umri peke yake.
Unapojikuta umri unakulazimisha kuoa au kuolewa jichunguze zaidi kama una uwezo wa kubeba jukumu la ndoa
Ndoa sio lelemama, ni jukumu zito. Mbali na swala la kumpenda mtu na kutamani kuishi nae pia usisahau kutafuta wewe ni nani? Una karama gani? Uliumbwa na Mungu uje ufanye nini duniani?
Na je, huyo unayempenda anachochea kipawa na karama yako au anaiua?